Hii ndio kazi ambayo uonekana haina maana lakini inafaida sana

Hii ndio kazi ambayo uonekana haina maana lakini inafaida sana

Hii kazi uwezi jutia lakini wengi wetu, sana sana sisi wanaume uiona haina maana lakini ukihifanya kwa stadi na bora wa juu huweza kuingiza kipato kikubwa sana

Kazi yenyewe ni:
1. UFUNDI CHEREANI

Kama kuna zingine waweza ongezea....

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hujatutaja na sie wauza majeneza? Na vumbi la Kongo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cherehani mpaka iaribike ndio upate kazi hiyo hailipi..
Fundi cherehani kwa maana ya anayeshona nguo sio anayetengeneza, kwenye anayetengeneza hamna chochote kiukweli ila anayeshona akitulia akapambana haitachukua muda mrefu sana kuishi maisha ya mtanzania wa kati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ni mshonaji muda mwingine ajue kutumia kiswahili fundi cherehani ndiye anaetengeneza ikiaribika

Bukoba
 
Kuna Mangi alinunua nyumba ya mil. 40 kwa kazi hio watu wakawa wanashangaa tu.

Mchana ameajiriwa kwny ofisi ya mtu mwenye jina tu hapa town ila usiku wateja wa pembeni wanamletea kazi za kushona home kwake,anapiga kazi mpk sa 10 alfajiri ndo analala.

Kwny muda wa saa 2 asubuhi yuko zake kwa boss wake anapiga kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
anachokitafuta atakipata tu, pesa inaingia huku akizalisha ugonjwa wa kutopumzisha mwili mda wa kutosha.

tutazika na mpunga wake tunagawana tunakula maisha.
 
Huyo ni mshonaji muda mwingine ajue kutumia kiswahili fundi cherehani ndiye anaetengeneza ikiaribika

Bukoba
Ukifuata matumuzi sahihi ya lugha inawezekana hayupo sahihi ila kwa mtaani au katika jamii hilo neno ndivyo linavyotumika na ukisema fundi cherehani kwenye jamii wanakuelewa kabisa kuwa unamaanisha anayeshona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom