Hii ndio kazi ambayo uonekana haina maana lakini inafaida sana

Hii ndio kazi ambayo uonekana haina maana lakini inafaida sana

Akina mo huwezi waonea wivu sababu sio level yako,
Hizo ni imani zenu tu msioamini kuna mafanikio yatokanayo na bidii na kuheshimu matumizi,
Mimi ni mhanga wa hayo maneno yenu ya vijiweni, bahati nzuri wazazi wangu wote pamoja na familia yapo wapo hai wote.
Na hapo sina adabu na hela ningekua nayo ningekua bilionea sasa hivi ndio wangesema kabisa ni mdau wa freemason

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu Kama nyie humu jamii forum nimewazoea huwa hamuwezi kuongea kwa hoja bila kuponda watu kwa neno maskini bila kujua huyo mtu ana level gani.
Yaani unajiaminisha kabisa kwamba level yako ni ya juu kuliko yangu wakati hunijui.
Si ajabu ww Ni kapuku tu kwangu ila mnaletaga swaga za kishamba na za kizamani.
Na aliyekwambia kuwa mm huwa nakaa kijiweni ni nani au mnakariri.

Pamoja na utajiri wako bado huelewi nilichomaanisha, hata kama una hela bado sio kwenye level za kina mo maana ndio umesema huwezi waonea wivu, maana hao kina mo na wa level za chini yake hawana mda wa kuja kubishana huku...

Sasa utamuoneaje wivu mtu uliyemzidi kimaendeleo.ukiona unamuonea mtu wivu ujue amekuzidi level.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Faida kubwa ya hiyo kazi kwa mwanaume endapo utakuwa nadhifu, charming basi utawakulaa wake za wenzio, wadada wa maeneo hayo na mwishowe utakuwa unawashonea nguo bure.
Huko ni kukosa uadilifu kwa kiwango kikubwa sana
Ukishindwa kujitawala unaweza kuwa mtu wa ajabu sana katika dunia hii
Mungu ametuumba akatupatia akili ili itusaidie kujiongoza na kuongoza wengine
Unaposhindwa kutumia akili vizuri
matokea yake ni kuwa mtu wa ajabu ajabu tu
Kugeuza ofisi kuwa sehemu ya kufanyia uzinzi na uasherati ni upumbafu wa kiwango cha mwisho kabisa.

Kuna kijana mmoja ni fundi mzuri sana wa ku design nguo alikuwa anafanyakaz as day work kwa fundi chereani fulani hivi

Boss wake akaamua kufungua branch nyingne tena nzuri
akamkabidhi huyu kijana
akamwambia aisimamie yani kila kitu kipo chini yake
kijana akawa anatengeza pesa nyingi sana
kilichotokea akawaka tamaa ya wanawake
pesa zote akipata anahonga mademu
anawagegeda
ofisi haijamaliza hata mwaka akafunga
mabinti hawamtaki tena coz amefulia
Analalamika tu maisha magumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wiki ijayo nataka kuanza hii biashara ya barafu mashuleni. Natengeneza mwenyewe naweka flavour amazing kama chokoleti na vanilla then natafuta mabinti watano wazuri wazuri kila mmoja na shule moja ya msingi. Natarajia baada ya mwezi mmoja biashara ikiwa vizuri nitakuwa na uwezo wa kuingiza 50k kwa siku kwa maana ya kwamba kila mmoja ataniletea faida ya 10k kwa siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio ujinga unaposhabikia kitu lazima uangalie na uhalisia.
Ingekuwa rahisi hivyo kuunga unga hela kwa kushona nguo hadi zifike milioni 40,watu wote tungekuwa washonaji wa nguo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Badilisha mtazamo mkuu,,kuna mshona nguo amefanyakaz pesa akawa ana tunza amefungua frame mbili za maduka ambazo kila frame moja analipwa 2mx2=4mil kwa mwaka pesa ambayo inajitegemea kabisa coz kaz yake ya kushona bado anaendelea nayo ,,kilimo analima kwa ajili ya mahitaji ya familia kwa upande wa chakula na mahitaji mengine
sasa hiyo 4milx5=20m kama una malengo ya miaka mitano.

na kwa mtu mwenye ubunifu na ujasiriamali
miaka mitano inatosha kabisa kutengeneza 100millions yaani kila mwaka 20m na inawezekana kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom