ujinga!Wachaga sio watu wazuri wana mambo mengi sana.
Wewe unamuona kazi yake ni kushona nguo tu kumbe usikute usiku ana mambo yake mengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ujinga!Wachaga sio watu wazuri wana mambo mengi sana.
Wewe unamuona kazi yake ni kushona nguo tu kumbe usikute usiku ana mambo yake mengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una akili sana, swali zuri.Ufundi cherehani(kurekebisha cherehani mbovu) au ufundi nguo kwa kutumia cherehani?
Sio ujinga unaposhabikia kitu lazima uangalie na uhalisia.ujinga!
Watu Kama nyie humu jamii forum nimewazoea huwa hamuwezi kuongea kwa hoja bila kuponda watu kwa neno maskini bila kujua huyo mtu ana level gani.Akina mo huwezi waonea wivu sababu sio level yako,
Hizo ni imani zenu tu msioamini kuna mafanikio yatokanayo na bidii na kuheshimu matumizi,
Mimi ni mhanga wa hayo maneno yenu ya vijiweni, bahati nzuri wazazi wangu wote pamoja na familia yapo wapo hai wote.
Na hapo sina adabu na hela ningekua nayo ningekua bilionea sasa hivi ndio wangesema kabisa ni mdau wa freemason
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na utajiri wako bado huelewi nilichomaanisha, hata kama una hela bado sio kwenye level za kina mo maana ndio umesema huwezi waonea wivu, maana hao kina mo na wa level za chini yake hawana mda wa kuja kubishana huku...Watu Kama nyie humu jamii forum nimewazoea huwa hamuwezi kuongea kwa hoja bila kuponda watu kwa neno maskini bila kujua huyo mtu ana level gani.
Yaani unajiaminisha kabisa kwamba level yako ni ya juu kuliko yangu wakati hunijui.
Si ajabu ww Ni kapuku tu kwangu ila mnaletaga swaga za kishamba na za kizamani.
Na aliyekwambia kuwa mm huwa nakaa kijiweni ni nani au mnakariri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa utamuoneaje wivu mtu uliyemzidi kimaendeleo.ukiona unamuonea mtu wivu ujue amekuzidi level.Pamoja na utajiri wako bado huelewi nilichomaanisha, hata kama una hela bado sio kwenye level za kina mo maana ndio umesema huwezi waonea wivu, maana hao kina mo na wa level za chini yake hawana mda wa kuja kubishana huku...
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa utamuoneaje wivu mtu uliyemzidi kimaendeleo.ukiona unamuonea mtu wivu ujue amekuzidi level.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utaweza kuendesha vogue?au hata murano? Hii kazi ni mpya kwangu!Hayo ni makosa upande wa maadili ya kazi..
Lakini ukihtumia vizuri, umaskini kwako utausikia tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Utaweza kuendesha vogue?au hata murano? Hii kazi ni mpya kwangu!
Huko ni kukosa uadilifu kwa kiwango kikubwa sanaFaida kubwa ya hiyo kazi kwa mwanaume endapo utakuwa nadhifu, charming basi utawakulaa wake za wenzio, wadada wa maeneo hayo na mwishowe utakuwa unawashonea nguo bure.
Safi sanawiki ijayo nataka kuanza hii biashara ya barafu mashuleni. Natengeneza mwenyewe naweka flavour amazing kama chokoleti na vanilla then natafuta mabinti watano wazuri wazuri kila mmoja na shule moja ya msingi. Natarajia baada ya mwezi mmoja biashara ikiwa vizuri nitakuwa na uwezo wa kuingiza 50k kwa siku kwa maana ya kwamba kila mmoja ataniletea faida ya 10k kwa siku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi kwa mtazamo wako tu na endelea kubaki hivo hivyoWachaga sio watu wazuri wana mambo mengi sana.
Wewe unamuona kazi yake ni kushona nguo tu kumbe usikute usiku ana mambo yake mengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Badilisha mtazamo mkuu,,kuna mshona nguo amefanyakaz pesa akawa ana tunza amefungua frame mbili za maduka ambazo kila frame moja analipwa 2mx2=4mil kwa mwaka pesa ambayo inajitegemea kabisa coz kaz yake ya kushona bado anaendelea nayo ,,kilimo analima kwa ajili ya mahitaji ya familia kwa upande wa chakula na mahitaji mengineSio ujinga unaposhabikia kitu lazima uangalie na uhalisia.
Ingekuwa rahisi hivyo kuunga unga hela kwa kushona nguo hadi zifike milioni 40,watu wote tungekuwa washonaji wa nguo.
Sent using Jamii Forums mobile app