Hii ndio kazi ambayo uonekana haina maana lakini inafaida sana

Wachaga sio watu wazuri wana mambo mengi sana.
Wewe unamuona kazi yake ni kushona nguo tu kumbe usikute usiku ana mambo yake mengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utengenezaji/uuzaji wa icecream(gelato&candy)hasa kwa maeneo ya joto...
wiki ijayo nataka kuanza hii biashara ya barafu mashuleni. Natengeneza mwenyewe naweka flavour amazing kama chokoleti na vanilla then natafuta mabinti watano wazuri wazuri kila mmoja na shule moja ya msingi. Natarajia baada ya mwezi mmoja biashara ikiwa vizuri nitakuwa na uwezo wa kuingiza 50k kwa siku kwa maana ya kwamba kila mmoja ataniletea faida ya 10k kwa siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wow👍
 
Safari njema ya mafanikio.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa anasemaga maisha ya umaskini aliyoyapitia yanatosha,kama ni kifo alishakichungulia kitambo sidhani kama anajali sana kwa sasa.
anachokitafuta atakipata tu, pesa inaingia huku akizalisha ugonjwa wa kutopumzisha mwili mda wa kutosha.

tutazika na mpunga wake tunagawana tunakula maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda uzuri wake ni kushika shika manyonyo na viuno vya wanawake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachaga sio watu wazuri wana mambo mengi sana.
Wewe unamuona kazi yake ni kushona nguo tu kumbe usikute usiku ana mambo yake mengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya ni mawazo ya kimaskini,
Unapoamini mwenzio hafanikiwi kwa bidii zake inakufanya hata wewe kutokua na ari ya kumfikia kimaendeleo maana unahisi hapati kwa bidii zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya ni mawazo ya kimaskini,
Unapoamini mwenzio hafanikiwi kwa bidii zake inakufanya hata wewe kutokua na ari ya kumfikia kimaendeleo maana unahisi hapati kwa bidii zake

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sio maskini Kama unavyofikiria.
Ila nimeishi nao na nawajua vizur wala siongei kwa kumuonea wivu.
Kama ni wivu ningeanza kuwaonea wivu kina Mo dewji na Bakhresa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sio maskini Kama unavyofikiria.
Ila nimeishi nao na nawajua vizur wala siongei kwa kumuonea wivu.
Kama ni wivu ningeanza kuwaonea wivu kina Mo dewji na Bakhresa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Akina mo huwezi waonea wivu sababu sio level yako,
Hizo ni imani zenu tu msioamini kuna mafanikio yatokanayo na bidii na kuheshimu matumizi,
Mimi ni mhanga wa hayo maneno yenu ya vijiweni, bahati nzuri wazazi wangu wote pamoja na familia yapo wapo hai wote.
Na hapo sina adabu na hela ningekua nayo ningekua bilionea sasa hivi ndio wangesema kabisa ni mdau wa freemason


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…