LDCTumekupata. Lkn tupe chanzo cha hiyo habari.
HahahaNgoja waje wenyewe wakwambie kiambuu iko somalia
Thubutu labda miaka 6 nyumaHaki sasa kama Middle class Econ iko hivi??? ? Je LDC kama Danganyika iko aje? ?????
Cry of patients in Kiambu as they share beds, rely on relatives for food bit.ly/2NRMZGgView attachment 822492
Acheni ku judge kila kuwa na evidence. Mna uhakika hapo ni Kenya au ni Arusha Mount Meru Hospitalia??
Pamoja na hayo. Ikumbuke hata kwenye nchi tajiri duniani kabisa kama USA, UK n.k kuna watu hawa afford basic needs kama chakula, malazi, mavazi na hata huduma ya afya. Wapo mitaani wanajifia na winter. Sembuse Kenya kulala wawili kitanda kimoja hospital!!!
Point yangu ni kuwa hata huko nchi zilizoendelea kuna watu wana hali mbaya piaUS si tajiri bali ni domo kaya tu.
Nenda Scandinavia uone JINSI huduma zilivyoboreshwa.
Point yangu ni kuwa hata huko nchi zilizoendelea kuna watu wana hali mbaya pia
ebu tena fahamisha masomo ulifikia ngazi gani!!!!! Can you read and write... Tz kuna governor????Acheni ku judge kila kuwa na evidence. Mna uhakika hapo ni Kenya au ni Arusha Mount Meru Hospitalia??
Pamoja na hayo. Ikumbuke hata kwenye nchi tajiri duniani kabisa kama USA, UK n.k kuna watu hawa afford basic needs kama chakula, malazi, mavazi na hata huduma ya afya. Wapo mitaani wanajifia na winter. Sembuse Kenya kulala wawili kitanda kimoja hospital!!!
Kiambuu Kenya kuna msongamano wa wagonjwa mbaya zaidi hata chakula hakuna!hali ya hospitali tanzania
HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili (MNH) imeeleza sababu za kuwapo msongamano katika wodi ya wazazi kuwa ni pamoja na magonjwa mbalimbali yanayowakumba wanawake kabla na baada ya uzazi.
Msongamano mkubwa wa wagonjwa katika Hospitali ya rufaa ya KCMC umesababisha madaktari kutoa huduma katika mazingira magumu na hatari kwao wenyewe na pia ...
wivu na umbeya ukishuka mwilini, nakutuma kutembelea hospitalini ujifahamisha hali halisi kwenye county za kenya. kiojo tu toka gatuzi la mombasa! hali ni nzuri
This morning I presided over the official opening of the new Maternal High Dependency Unit (MHDU) at the Coast General Hospital. The facility is the first of its kind in County Hospital and the largest of its kind in the whole country.
Kama nchi ina njaa chakula cha wagonjwa kitatoka wap?Kiambuu Kenya kuna msongamano wa wagonjwa mbaya zaidi hata chakula hakuna!
tangu lini mKenya akasema kuwa Kenya ni developed country?π΅ key word ni "middle income" ππnot developed country...hata Afrika Kusini, Botswana au Mauritius haziko kwenye kiwango hichoπ..Sio developed country tena? Duh.
nami nakwambia shida kama hizi ziko kila kona ya dunia...hata the so-called "developed nations" kama US, UK na kadhalika iwe ni public sector au la...hakuna nchi ilio perfect...ndio maana unawaona Republicans wanajaribu kuiondoa Obamacare...kule UK NHS pia ina shida chungu nzima watu wanahangaika hospitalini...Lakini mkuu hiyo ni hospital,public sector.Sijaleta habari ya mtaa wa mabanda!
wanakiambu hospitali kuu muhimbili, TanzaniaMwavyowafanyia wanakiambu Mungu anawaona.
Vipi tena ndugu!? Imekuwa vita!? Sisi ni LDC wakati nyie ni Developed Country. Hizi ni stress za kukosa chakula ππwanakiambu hospitali kuu muhimbili, Tanzania
hali ya hospitali tanzania
HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili (MNH) imeeleza sababu za kuwapo msongamano katika wodi ya wazazi kuwa ni pamoja na magonjwa mbalimbali yanayowakumba wanawake kabla na baada ya uzazi.
Msongamano mkubwa wa wagonjwa katika Hospitali ya rufaa ya KCMC umesababisha madaktari kutoa huduma katika mazingira magumu na hatari kwao wenyewe na pia ...
Duh, leo unajikana? Ha ha ha ha.tangu lini mKenya akasema kuwa Kenya ni developed country?...
Thubutu labda miaka 6 nyuma
Tunawaambia uchumi wa makaratasi Kenya