Hii Ndio Kenya Uchumi Unaokua Kwa Mwendokasi!

Haki sasa kama Middle class Econ iko hivi??? ? Je LDC kama Danganyika iko aje? ?????
 
Cry of patients in Kiambu as they share beds, rely on relatives for food bit.ly/2NRMZGgView attachment 822492

hali ya hospitali tanzania
WODI-YA-WAZAZI-300x225.jpg
HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili (MNH) imeeleza sababu za kuwapo msongamano katika wodi ya wazazi kuwa ni pamoja na magonjwa mbalimbali yanayowakumba wanawake kabla na baada ya uzazi.
Msongamano mkubwa wa wagonjwa katika Hospitali ya rufaa ya KCMC umesababisha madaktari kutoa huduma katika mazingira magumu na hatari kwao wenyewe na pia ...

GAENOOLOY-WARD-OF-MUST-1.jpg

wivu na umbeya ukishuka mwilini, nakutuma kutembelea hospitalini ujifahamisha hali halisi kwenye county za kenya. kiojo tu toka gatuzi la mombasa! hali ni nzuri

This morning I presided over the official opening of the new Maternal High Dependency Unit (MHDU) at the Coast General Hospital. The facility is the first of its kind in County Hospital and the largest of its kind in the whole country.

37669753_1841936879197983_7742715944555773952_n.jpg

37657568_1841937729197898_4653409637138169856_n.jpg

37691195_1841937649197906_9103259926347644928_n.jpg

37668113_1841937739197897_5150348344106680320_n.jpg

37671765_1841936775864660_7016684236069404672_n.jpg

37711318_1841937189197952_8725529161961046016_n.jpg
 
Last edited:
Acheni ku judge kila kuwa na evidence. Mna uhakika hapo ni Kenya au ni Arusha Mount Meru Hospitalia??

Pamoja na hayo. Ikumbuke hata kwenye nchi tajiri duniani kabisa kama USA, UK n.k kuna watu hawa afford basic needs kama chakula, malazi, mavazi na hata huduma ya afya. Wapo mitaani wanajifia na winter. Sembuse Kenya kulala wawili kitanda kimoja hospital!!!
 
US si tajiri bali ni domo kaya tu.
Nenda Scandinavia uone JINSI huduma zilivyoboreshwa.
 
Acheni ku judge kila kuwa na evidence. Mna uhakika hapo ni Kenya au ni Arusha Mount Meru Hospitalia??

Pamoja na hayo. Ikumbuke hata kwenye nchi tajiri duniani kabisa kama USA, UK n.k kuna watu hawa afford basic needs kama chakula, malazi, mavazi na hata huduma ya afya. Wapo mitaani wanajifia na winter. Sembuse Kenya kulala wawili kitanda kimoja hospital!!!
ebu tena fahamisha masomo ulifikia ngazi gani!!!!! Can you read and write... Tz kuna governor????
37669753_1841936879197983_7742715944555773952_n.jpg

coast3.jpg

IMG_2548.jpg

1794757_467206126762334_6116850074861966916_n.jpg
machakos-hospital1.jpg

bdGAVgt.jpg
 
hali ya hospitali tanzania
WODI-YA-WAZAZI-300x225.jpg
HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili (MNH) imeeleza sababu za kuwapo msongamano katika wodi ya wazazi kuwa ni pamoja na magonjwa mbalimbali yanayowakumba wanawake kabla na baada ya uzazi.
Msongamano mkubwa wa wagonjwa katika Hospitali ya rufaa ya KCMC umesababisha madaktari kutoa huduma katika mazingira magumu na hatari kwao wenyewe na pia ...

GAENOOLOY-WARD-OF-MUST-1.jpg

wivu na umbeya ukishuka mwilini, nakutuma kutembelea hospitalini ujifahamisha hali halisi kwenye county za kenya. kiojo tu toka gatuzi la mombasa! hali ni nzuri

This morning I presided over the official opening of the new Maternal High Dependency Unit (MHDU) at the Coast General Hospital. The facility is the first of its kind in County Hospital and the largest of its kind in the whole country.

37669753_1841936879197983_7742715944555773952_n.jpg

37657568_1841937729197898_4653409637138169856_n.jpg

37691195_1841937649197906_9103259926347644928_n.jpg

37668113_1841937739197897_5150348344106680320_n.jpg

37671765_1841936775864660_7016684236069404672_n.jpg

37711318_1841937189197952_8725529161961046016_n.jpg
Kiambuu Kenya kuna msongamano wa wagonjwa mbaya zaidi hata chakula hakuna!
 
Sio developed country tena? Duh.
tangu lini mKenya akasema kuwa Kenya ni developed country?😵 key word ni "middle income" 😀😀not developed country...hata Afrika Kusini, Botswana au Mauritius haziko kwenye kiwango hicho😀..
 
Last edited:
Lakini mkuu hiyo ni hospital,public sector.Sijaleta habari ya mtaa wa mabanda!
nami nakwambia shida kama hizi ziko kila kona ya dunia...hata the so-called "developed nations" kama US, UK na kadhalika iwe ni public sector au la...hakuna nchi ilio perfect...ndio maana unawaona Republicans wanajaribu kuiondoa Obamacare...kule UK NHS pia ina shida chungu nzima watu wanahangaika hospitalini...
 
jamaa anleta habari ya kiambu kumbe kwao hali mbaya kama nini😀😀😀
WODI-YA-WAZAZI-300x225.jpg
 
Mwavyowafanyia wanakiambu Mungu anawaona.
 
wanakiambu hospitali kuu muhimbili, Tanzania

hali ya hospitali tanzania
WODI-YA-WAZAZI-300x225.jpg

HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili (MNH) imeeleza sababu za kuwapo msongamano katika wodi ya wazazi kuwa ni pamoja na magonjwa mbalimbali yanayowakumba wanawake kabla na baada ya uzazi.
Msongamano mkubwa wa wagonjwa katika Hospitali ya rufaa ya KCMC umesababisha madaktari kutoa huduma katika mazingira magumu na hatari kwao wenyewe na pia ...

GAENOOLOY-WARD-OF-MUST-1.jpg
 
wanakiambu hospitali kuu muhimbili, Tanzania

hali ya hospitali tanzania
WODI-YA-WAZAZI-300x225.jpg

HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili (MNH) imeeleza sababu za kuwapo msongamano katika wodi ya wazazi kuwa ni pamoja na magonjwa mbalimbali yanayowakumba wanawake kabla na baada ya uzazi.
Msongamano mkubwa wa wagonjwa katika Hospitali ya rufaa ya KCMC umesababisha madaktari kutoa huduma katika mazingira magumu na hatari kwao wenyewe na pia ...

GAENOOLOY-WARD-OF-MUST-1.jpg
Vipi tena ndugu!? Imekuwa vita!? Sisi ni LDC wakati nyie ni Developed Country. Hizi ni stress za kukosa chakula 😀😀
 
Back
Top Bottom