fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
Mhhhh hivi kuna msanii ambaye hawezi kujieleza kwenye Interview? Ebu tupe mfano mmoja wapo maana mie nawaona wasanii wote vichwa vimewaka maneno kama yote wakipewa mic.HABARI MASIKU WAUNGWANA
kama kichwa kinavyojieleza hapo juu hii ndiyo list ya wasanii wanaojua kujieleza kwenye interview zao kiasi hata ukisikia anahojiwa lazima utamani kusikiliza hyo interview
1:FID Q
2[emoji815] PLATNUMZ
3:YOUNG KILLER MSODOKI
4:NIKI MBISHI
5:NAY WA MITEGO
6:NIKI WA PILI
7:NASH MC(japo anajikuta mjuaji sana
8:ALI KIBA
9😛ROFESA JAY
10:CHIDI BENZ (japo weng mtakataa ila huyu jamaa ana0ngeaga vya maana sana ukitulia na kumsikiliza vizuri)

kunaMhhhh hivi kuna msanii ambaye hawezi kujieleza kwenye Interview? Ebu tupe mfano mmoja wapo maana mie nawaona wasanii wote vichwa vimewaka maneno kama yote wakipewa mic.
kwani bongo muvi haijafa mkuu??Utuletee na list ya bongo movie acha kuwapendelea bongo fleva tu
KONKI QONKI KONKI MASTERSijamuona konki master?
kweli mkuu kuna wasanii ukiwaskiliza utatamani kuzima TV au redio hawaeleweki kbsaWengine wababa wazee kabisa wanashindwa na Patrick Kanumba...mtoto anajua kujieleza yule yaani yupo smart mpaka raha
hahaha kwann mkuuAli kiba simuweki hata kwenye top 20
Mtoe young D.kuna
hamorapa
young Dee
enoki bela
**** nature
nk
Kabisa jamaa namuona mweupe sana kwenye interview na majibu ya shortcut inawezekana jamaa maneno machache.Alikiba hajui kuieleza kabisa anachojua ni neno "its personal"
Mtoe young D.
Ila Juma Nature mbona ni mkongwe sana kwa hamorapa bado anaogopa mic.