Hii ndio list ya wasanii wa bongo flavour wanaojua kujieleza kwenye interview zao

HABARI MASIKU WAUNGWANA
kama kichwa kinavyojieleza hapo juu hii ndiyo list ya wasanii wanaojua kujieleza kwenye interview zao kiasi hata ukisikia anahojiwa lazima utamani kusikiliza hyo interview
1:FID Q
2[emoji815] PLATNUMZ
3:YOUNG KILLER MSODOKI
4:NIKI MBISHI
5:NAY WA MITEGO
6:NIKI WA PILI
7:NASH MC(japo anajikuta mjuaji sana
8:ALI KIBA
9😛ROFESA JAY
10:CHIDI BENZ (japo weng mtakataa ila huyu jamaa ana0ngeaga vya maana sana ukitulia na kumsikiliza vizuri)
List hii bila ya kuwepo Harmonize ni batili kwangu.
 
HABARI MASIKU WAUNGWANA
kama kichwa kinavyojieleza hapo juu hii ndiyo list ya wasanii wanaojua kujieleza kwenye interview zao kiasi hata ukisikia anahojiwa lazima utamani kusikiliza hyo interview
1:FID Q
2[emoji815] PLATNUMZ
3:YOUNG KILLER MSODOKI
4:NIKI MBISHI
5:NAY WA MITEGO
6:NIKI WA PILI
7:NASH MC(japo anajikuta mjuaji sana
8:ALI KIBA
9😛ROFESA JAY
10:CHIDI BENZ (japo weng mtakataa ila huyu jamaa ana0ngeaga vya maana sana ukitulia na kumsikiliza vizuri)

Nikki mbishi zohan bonge genius speaker
 
Kabisa jamaa namuona mweupe sana kwenye interview na majibu ya shortcut inawezekana jamaa maneno machache.
Mtoa mada ambacho alitakiwa kusema wasanii ambao wanajua kueleza vitu vya msingi na maana kwenye interview zao na ambao ukisikia au ukiona wana interview uchoshwi kuwasikiliza na unatamani waendelee....

Ni ukweli usiopingika wasanii wengi wa muziki wa kufoka wanao uwezo mkubwa wa kuongea vizuri na vya maana hata kujibu maswali vizuri sana.
Kwangu mimi hadi sasa wasanii ambao wana hivyo vigezo na ambao uwezi kinai interview zao ni

Fid q, Mwana FA na Wakazi hawa ndio wasanii ukiwasikiliza unatoka na kitu kwa upande wangu...

Halafu ni kweli kila msanii anajua kujieleza maana hata pumba nazo ni kujieleza pia....lakini ukweli ni kwamba kuna wasanii wachache sana wana mvuto kuwasikiliza..
 
Nikiona interview ni Kiba huwa nabadilisha station, kila anachoulizwa hajibu mara it’s personal huwa najiuliza sasa kaenda kufanya nini si akae nyumbani tu awapishe wengine.

Diamond platinumz na rommy jons hawa sichoki kuwasikiliza
 
Mtoa mada ambacho alitakiwa kusema wasanii ambao wanajua kueleza vitu vya msingi na maana kwenye interview zao na ambao ukisikia au ukiona wana interview uchoshwi kuwasikiliza na unatamani waendelee....

Ni ukweli usiopingika wasanii wengi wa muziki wa kufoka wanao uwezo mkubwa wa kuongea vizuri na vya maana hata kujibu maswali vizuri sana.
Kwangu mimi hadi sasa wasanii ambao wana hivyo vigezo na ambao uwezi kinai interview zao ni

Fid q, Mwana FA na Wakazi hawa ndio wasanii ukiwasikiliza unatoka na kitu kwa upande wangu...

Halafu ni kweli kila msanii anajua kujieleza maana hata pumba nazo ni kujieleza pia....lakini ukweli ni kwamba kuna wasanii wachache sana wana mvuto kuwasikiliza..
Hao majaa uliwataja kweli ni MAKONKI kwenye Interview.
 
HABARI MASIKU WAUNGWANA
kama kichwa kinavyojieleza hapo juu hii ndiyo list ya wasanii wanaojua kujieleza kwenye interview zao kiasi hata ukisikia anahojiwa lazima utamani kusikiliza hyo interview
1:FID Q
2[emoji815] PLATNUMZ
3:YOUNG KILLER MSODOKI
4:NIKI MBISHI
5:NAY WA MITEGO
6:NIKI WA PILI
7:NASH MC(japo anajikuta mjuaji sana
8:ALI KIBA
9😛ROFESA JAY
10:CHIDI BENZ (japo weng mtakataa ila huyu jamaa ana0ngeaga vya maana sana ukitulia na kumsikiliza vizuri)
Hapo kwa Ali Kiba ndio umeharibu kila kitu na thread yako haina maana tena.
 
Roma
Stamina
Chakubanga wa buku 7
Ya moto band
Wozu
Mboso
Mr nice
20%
Wachuja nafaka
Bel 9
Shankupe wa mjin
Ze kokomanga
Lerionka
Kariankei
Yule Dogo wa kule mbeya simkumbuk
 
Back
Top Bottom