Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Vvu yani (vina vikali usipime)Huyo namba 7 anajua kweli! Hawafagilii hata kidogo wangese wanaozingua harakati! Nash Vina mpaka Uchina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vvu yani (vina vikali usipime)Huyo namba 7 anajua kweli! Hawafagilii hata kidogo wangese wanaozingua harakati! Nash Vina mpaka Uchina
Amber rutyMhhhh hivi kuna msanii ambaye hawezi kujieleza kwenye Interview? Ebu tupe mfano mmoja wapo maana mie nawaona wasanii wote vichwa vimewaka maneno kama yote wakipewa mic.
mkuu huyo 'Mtoe Kiba' ni mdogo wao wamwisho nini (Ali & Abdu Kiba)??Mtoe Kiba
tena amtoe harakaaMtoe Kiba
kamsikilize Ali kiba vzur halafu uje uedit Uzi wakoHABARI MASIKU WAUNGWANA
kama kichwa kinavyojieleza hapo juu hii ndiyo list ya wasanii wanaojua kujieleza kwenye interview zao kiasi hata ukisikia anahojiwa lazima utamani kusikiliza hyo interview
1:FID Q
2[emoji815] PLATNUMZ
3:YOUNG KILLER MSODOKI
4:NIKI MBISHI
5:NAY WA MITEGO
6:NIKI WA PILI
7:NASH MC(japo anajikuta mjuaji sana
8:ALI KIBA
9😛ROFESA JAY
10:CHIDI BENZ (japo weng mtakataa ila huyu jamaa ana0ngeaga vya maana sana ukitulia na kumsikiliza vizuri)
Amweke dogojanja apoMtoe Kiba
Mhhhh hivi kuna msanii ambaye hawezi kujieleza kwenye Interview? Ebu tupe mfano mmoja wapo maana mie nawaona wasanii wote vichwa vimewaka maneno kama yote wakipewa mic.
Jipe muda kasikilize interview yoyote ya WAKAZI halafu urudi tena hapaHABARI MASIKU WAUNGWANA
kama kichwa kinavyojieleza hapo juu hii ndiyo list ya wasanii wanaojua kujieleza kwenye interview zao kiasi hata ukisikia anahojiwa lazima utamani kusikiliza hyo interview
1:FID Q
2[emoji815] PLATNUMZ
3:YOUNG KILLER MSODOKI
4:NIKI MBISHI
5:NAY WA MITEGO
6:NIKI WA PILI
7:NASH MC(japo anajikuta mjuaji sana
8:ALI KIBA
9😛ROFESA JAY
10:CHIDI BENZ (japo weng mtakataa ila huyu jamaa ana0ngeaga vya maana sana ukitulia na kumsikiliza vizuri)
Naunga mkono hojaMtoe Kiba
Daah upo vizuri sana mkuu, WAKAZI ni hatariMtoa mada ambacho alitakiwa kusema wasanii ambao wanajua kueleza vitu vya msingi na maana kwenye interview zao na ambao ukisikia au ukiona wana interview uchoshwi kuwasikiliza na unatamani waendelee....
Ni ukweli usiopingika wasanii wengi wa muziki wa kufoka wanao uwezo mkubwa wa kuongea vizuri na vya maana hata kujibu maswali vizuri sana.
Kwangu mimi hadi sasa wasanii ambao wana hivyo vigezo na ambao uwezi kinai interview zao ni
Fid q, Mwana FA na Wakazi hawa ndio wasanii ukiwasikiliza unatoka na kitu kwa upande wangu...
Halafu ni kweli kila msanii anajua kujieleza maana hata pumba nazo ni kujieleza pia....lakini ukweli ni kwamba kuna wasanii wachache sana wana mvuto kuwasikiliza..
Eti ' its personal' [emoji23]Alikiba hajui kujieleza kabisa anachojua ni neno "its personal"
Na hiyo ndio inayofanya huu uzi ukose maanaSijamuona wakazi
Anajua eeh?Umemsahau janjaro wewe