Hii ndio list ya wasanii wa bongo flavour wanaojua kujieleza kwenye interview zao

Hii ndio list ya wasanii wa bongo flavour wanaojua kujieleza kwenye interview zao

Nikiona interview ni Kiba huwa nabadilisha station, kila anachoulizwa hajibu mara it’s personal huwa najiuliza sasa kaenda kufanya nini si akae nyumbani tu awapishe wengine.

Diamond platinumz na rommy jons hawa sichoki kuwasikiliza
"Its personal, its personal, its personal eyooo Ali K hapa"
 
Kuna mtu anaitwa Soggy Dogy Hunter pitia mahojiano yake Youtube utakuja kuniambia, jamaa yuko smart sana.
 
Namba moja alitakiwa awepo mwana f,a

Ila hata kwenye list yako hujamuweka
 
Kwa Fid hapana. Kuna interview moja Youtube alikuwa busy na smartphone yake tu. Na nikiona msanii anachagua interview, nyingine anakuwa serious na nyingine anapotezea. Msanii kama huyo namtia kwenye trash bin.
Dogo Janja namkubali sana kwenye interview. Huwa anajiachia miamia. Ni kama yuko kijiweni na chawa anapiga story tu. Anafunguka na hana tension kabisa. Aliulizwa ni nini anakimis baada ya kuoa. Dogo akasema anamisi sana kupiga chabo. Hahahahahaaaa!!!
Na Majibu yake yale ya watoto wa Arachuga...... Hachoshi kumsikiliza.
 
Kwa wasanii wa BONGO flava anaeongoza kwa kujieleza kwenye interview ni BILLNASS a.k.a BILINENGA.wengine wanafata
 
Ongezea Afande Selle na Jay mo
HABARI MASIKU WAUNGWANA
kama kichwa kinavyojieleza hapo juu hii ndiyo list ya wasanii wanaojua kujieleza kwenye interview zao kiasi hata ukisikia anahojiwa lazima utamani kusikiliza hyo interview
1:FID Q
2[emoji815] PLATNUMZ
3:YOUNG KILLER MSODOKI
4:NIKI MBISHI
5:NAY WA MITEGO
6:NIKI WA PILI
7:NASH MC(japo anajikuta mjuaji sana
8:ALI KIBA
9😛ROFESA JAY
10:CHIDI BENZ (japo weng mtakataa ila huyu jamaa ana0ngeaga vya maana sana ukitulia na kumsikiliza vizuri)
 
Nakumbuka aliwahi kuulizwa na Mtangazaji Mtaani kwake wanamkubali vipj? Akajibu eti wakimuona ni Kama umeme umerudi Kitaa... Dogo Janja Enterview zake na enjoy sana.
[emoji23] sijawahi msikiliza ...ngoja nimpekenyue
 
HABARI MASIKU WAUNGWANA
kama kichwa kinavyojieleza hapo juu hii ndiyo list ya wasanii wanaojua kujieleza kwenye interview zao kiasi hata ukisikia anahojiwa lazima utamani kusikiliza hyo interview
1:FID Q
2[emoji815] PLATNUMZ
3:YOUNG KILLER MSODOKI
4:NIKI MBISHI
5:NAY WA MITEGO
6:NIKI WA PILI
7:NASH MC(japo anajikuta mjuaji sana
8:ALI KIBA
9😛ROFESA JAY
10:CHIDI BENZ (japo weng mtakataa ila huyu jamaa ana0ngeaga vya maana sana ukitulia na kumsikiliza vizuri)
King kiba mtoe..! Huyo jamaa siwezagi kuangalia interviews zake. Five minutes only can make mad such that I might destroy the radio itself!
 
Nikiona interview ni Kiba huwa nabadilisha station, kila anachoulizwa hajibu mara it’s personal huwa najiuliza sasa kaenda kufanya nini si akae nyumbani tu awapishe wengine.

Diamond platinumz na rommy jons hawa sichoki kuwasikiliza
Niliona interview ya romy jones pale bbc akiwa na kikeke. Aisee huyu jamaa ni kama alipita kwenye chuo cha sanaa namna anavyojua kupangia maelezo..
 
Back
Top Bottom