Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Idris kweli Domo Zege.Simuoni Idris sultan hapo.
Msanii kama Alikiba anapata interview kwa sababu ya mashabiki lakini sidhani kama kuna mtangazaji huwa anakuwa na shauku ya kumuhoji na wengi wana mvumilia sana.....Ali kiba hajui kujieleza kabisa japo mm ni team kiba,
Naunga mkonoo huyu jamaa mzee wa eyoooooh hapanaMtoe Kiba
Naipitisha hiiAli kiba simuweki hata kwenye top 20
Hapana aiseeeh dogo janja hapanaUmemsahau janjaro wewe
Ali KMhhhh hivi kuna msanii ambaye hawezi kujieleza kwenye Interview? Ebu tupe mfano mmoja wapo maana mie nawaona wasanii wote vichwa vimewaka maneno kama yote wakipewa mic.
Labda jux..mtoe huyo mpima oilWewe jamaa hauko serious, umemuacha wapi jux na billnass?
Bishooo tu upepo mtupuHarmonize
Kah mzee wa yoh men its real menGodzilla ni hatari japo umemsahau
KabisaBlue
Ommydimpoz anajua kujielezea mno na anaongea vitu vyenye point sana, nilimsahau huyu jamaa namuweka namba mojaNiliwahi kusikiliza Interview yake..... Haichoshi. Na Ommydimpoz.
Duh mpima oil [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa wasanii wa BONGO flava anaeongoza kwa kujieleza kwenye interview ni BILLNASS a.k.a BILINENGA.wengine wanafata