Hii ndio list ya wasanii wa bongo flavour wanaojua kujieleza kwenye interview zao

Hii ndio list ya wasanii wa bongo flavour wanaojua kujieleza kwenye interview zao

Ali kiba hajui kujieleza kabisa japo mm ni team kiba,
Msanii kama Alikiba anapata interview kwa sababu ya mashabiki lakini sidhani kama kuna mtangazaji huwa anakuwa na shauku ya kumuhoji na wengi wana mvumilia sana.....
Na Ukitaka kumuhoji Alikiba inabidi unywe maji kila muda kupunguza hasira maana ukweli ana kera sana ....kuna siku nilimsikia pale Clouds kwakweli watangazaji walikuwa wanaonesha kabisa kukerwa na walimvumilia sana
 
Ali Kiba Boya
Hajui kabisaa kabisaa hata 1 %
Mwepesi Kuloose confidence
 
Ali Kiba kaka angu mtoe hata nikisikia interview yake sipati muamko
 
Madee
Aslay
Konki konki master
Juma nature
Mwana FA
Jide
Mr.blue
 
Back
Top Bottom