Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
He is simply temperMsanii kama Alikiba anapata interview kwa sababu ya mashabiki lakini sidhani kama kuna mtangazaji huwa anakuwa na shauku ya kumuhoji na wengi wana mvumilia sana.....
Na Ukitaka kumuhoji Alikiba inabidi unywe maji kila muda kupunguza hasira maana ukweli ana kera sana ....kuna siku nilimsikia pale Clouds kwakweli watangazaji walikuwa wanaonesha kabisa kukerwa na walimvumilia sana