Hii ndio list ya wasanii wa bongo flavour wanaojua kujieleza kwenye interview zao

Hii ndio list ya wasanii wa bongo flavour wanaojua kujieleza kwenye interview zao

Msanii kama Alikiba anapata interview kwa sababu ya mashabiki lakini sidhani kama kuna mtangazaji huwa anakuwa na shauku ya kumuhoji na wengi wana mvumilia sana.....
Na Ukitaka kumuhoji Alikiba inabidi unywe maji kila muda kupunguza hasira maana ukweli ana kera sana ....kuna siku nilimsikia pale Clouds kwakweli watangazaji walikuwa wanaonesha kabisa kukerwa na walimvumilia sana
He is simply temper
 
Ommydimpoz anajua kujielezea mno na anaongea vitu vyenye point sana, nilimsahau huyu jamaa namuweka namba moja
Anamajibu yake fulani hivi ya kiutu uzima... Inanikumbusha Kipindi kile cha Ugomvi wake na Dai. Alimpa Dai majibu mazuri kabisa.
 
Ommydimpoz na dogo janja? Ommy ni zaidi ya dogo janja,dogo anapwaya kwenye interview
Mkuu naomba umsikilize Dogo kwa mara nyingine tena. Kwa umri wake na namna anavyojieleza kwenye Interview anastahili pongezi. Kwangu anabaki kuwa Moja ya Msanii anayejua kujieleza vizuri kabisa kwenye Interview.
 
HABARI MASIKU WAUNGWANA
kama kichwa kinavyojieleza hapo juu hii ndiyo list ya wasanii wanaojua kujieleza kwenye interview zao kiasi hata ukisikia anahojiwa lazima utamani kusikiliza hyo interview
1:FID Q
2[emoji815] PLATNUMZ
3:YOUNG KILLER MSODOKI
4:NIKI MBISHI
5:NAY WA MITEGO
6:NIKI WA PILI
7:NASH MC(japo anajikuta mjuaji sana
8:ALI KIBA
9😛ROFESA JAY
10:CHIDI BENZ (japo weng mtakataa ila huyu jamaa ana0ngeaga vya maana sana ukitulia na kumsikiliza vizuri)
Sugu
Hahahahahaaa
 
Back
Top Bottom