Hii ndio list ya wasanii wa bongo flavour wanaojua kujieleza kwenye interview zao

Fatilia channel moja ya dizzim online nilichogundua alikiba maswali ya umbea ajibu ovyo sana ukitaka kujia yupo vizuri tafuta channel ya sallam sk ndio utajua halafu hizi timu ndio zinaharibu kila mtu anavutia upande wake
 
Mhhhh hivi kuna msanii ambaye hawezi kujieleza kwenye Interview? Ebu tupe mfano mmoja wapo maana mie nawaona wasanii wote vichwa vimewaka maneno kama yote wakipewa mic.
If yo...if..if..if yooou if yo if..if...if..if..yoooo...yoyoyoo yooooo..youuww!!
 
1.Proffesor jay
 
Wasanii ambao hawajui kujieleza kwenye interview!..
Alikiba
Baraka the prince
Na tid nae akilaga kile cheupe anaongeaga pumba tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…