Chaos Master
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 636
- 1,310
Maana pekee ni kutoa taarifaUnamaana gani kwa mfano unataka chokochoko
Wanamuziki wa BongoflevaWasanii wa mziki au?
Na ni mziki gani?
Maana ata joti nae msanii
Atakuwa anamaanisha wa muziki wa bongo fleva.Wasanii wa mziki au?
Na ni mziki gani?
Maana ata joti nae msanii
Hii list ni batili, simuoni Dj DON NALIMISON a.k.a Deogratius Kisandu msanii mkali kuliko Michael JacksonHii Ndio List Ya Wasanii Wenye Wafuasi (Subscribers) Wengi Zaidi Kwenye Mtandao Wa YouTube
1. #DIAMOND 5.44M
2. #RAYVANNY 3.03
3. #HARMONIZE 2.68M
4. #MBOSSO 1.71M
5. #ZUCHU 1.44M
6. #ALIKIBA 1.03M
7. #LAVALAVA 1.01M
8. #NANDY 847K
9.#ASLAY 805K
10. #ROMA 442K
CC @chartdatatz