Hii Ndio Love Bite (Hickey)

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,265
Wanapokutana wapenzi wawili, wanakumbatiana, na kubusiana.Katika kubusiana mmojawao
kwa kuonesha hisia zake nzito za mapenzi hunyonya sehemu yoyote ya mwili wa mpenzi wake.Sehemu maarufu
zinazonyonywa ni shingo, mashavu, mapaja, tumbo na mzunguko wote wa kiuno.Mara zote katika kunyonya nguvu fulani
ya kuvuta ngozi hutokea.
Kitendo hicho cha kuvuta ngozi hupasua mishipa midogo ya damu iliyopo chini ya ngozi na kufanya ngozi kuwa na baka lenye uwekundu. Kama ngozi ya anayenyonywa ni nyeupe, wekundu huo unaonekana kwa uwazi zaidi. Baka hilo la uwekundu ndio huitwa lovebite. Kusema kweli,hilo neno bite si sahihi sana kwani meno hayatumiki kwenye kunyonya.Binafsi ningependekeza neno lovestamp badala ya lovebite.

Kama unapita mjini saa za asubuhi ya saa12 au saa 1 na macho yako yana udadisi waweza kuona shingo za baadhi ya wadada unaokutana nao zikiwa na uwekundu huo (lovebite) na huyo mdada hatagundua mpaka afike nyumbani.
Tazama lovebite kwenye shingo za hawa wadada hapa chini:




 
Nadhani hiyo alama hutegea na rangi ya mhusika.
Kama mhusika ana rangi kama mheshimiwa Wasira, sidhani kama itaonekana.
 
wamekutana na mavampire
 
hahahahaha aaaahhhhh sina usemi
Hebu cheki shingo yako Vaislay. Kuna lovebite inaanza kufifia, ni ya Jumamosi iliyopita
ulipokwenda ..............................................
 
Last edited by a moderator:
wengine wanakuwa wamepitiwa na nairobi fly
 
Mbona wote walionyeshwa kwenye picha ni wazungu ndo kusema watu weusi hawapiti lovebite
 
Mimi demu wangu alinambiaga nimtoe hiyo love bite....kipindi hicho hata sijui ndo kitu gani asee ....si nikamng'ata ?! Nikala bonge la kofi
 
Mbona wote walionyeshwa kwenye picha ni wazungu ndo kusema watu weusi hawapiti lovebite

weusi wanapata sasa sijui ikiwa itaonekana kama hivyo labda atie meno kabisaa kibaki kidonda....
 
Hebu cheki shingo yako Vaislay. Kuna lovebite inaanza kufifia, ni ya Jumamosi iliyopita
ulipokwenda ..............................................

shiiish...itakusikia michepuko
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…