SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,265
Wanapokutana wapenzi wawili, wanakumbatiana, na kubusiana.Katika kubusiana mmojawao
kwa kuonesha hisia zake nzito za mapenzi hunyonya sehemu yoyote ya mwili wa mpenzi wake.Sehemu maarufu
zinazonyonywa ni shingo, mashavu, mapaja, tumbo na mzunguko wote wa kiuno.Mara zote katika kunyonya nguvu fulani
ya kuvuta ngozi hutokea.
Kitendo hicho cha kuvuta ngozi hupasua mishipa midogo ya damu iliyopo chini ya ngozi na kufanya ngozi kuwa na baka lenye uwekundu. Kama ngozi ya anayenyonywa ni nyeupe, wekundu huo unaonekana kwa uwazi zaidi. Baka hilo la uwekundu ndio huitwa lovebite. Kusema kweli,hilo neno bite si sahihi sana kwani meno hayatumiki kwenye kunyonya.Binafsi ningependekeza neno lovestamp badala ya lovebite.
Kama unapita mjini saa za asubuhi ya saa12 au saa 1 na macho yako yana udadisi waweza kuona shingo za baadhi ya wadada unaokutana nao zikiwa na uwekundu huo (lovebite) na huyo mdada hatagundua mpaka afike nyumbani.
Tazama lovebite kwenye shingo za hawa wadada hapa chini: