FestoKaguo
Senior Member
- Apr 1, 2022
- 128
- 202
Miaka kadhaa nyuma, mzazi wako alikuwa anaandika barua na kwenda kuituma posta. Sometimes ilifika baada ya wiki mbili au ilikuwa inaweza isifike kabisa.
Kisha baadae simu zikaja then mitandao ya kijamii ikaingia pia. Mzazi wako alipata shida ku-adapt na sometimes walidiriki hata kusema mitandao inaharibu vijana utandawazi ni mbaya tulisoma kwenye tamthiliya ya Kilio Chetu. Kumbuka na kuna wakati wewe mwenyewe ulimwona mzazi wako
kama "wa kizamani" hivi.
Sasa zamu yako imefika na wewe
Ni kweli upo ndani ya teknolojia, unajua kutumia tools kibao zinazoendana na kazi zako lakini Al imeshawasili na wewe umeanza kuiona kama tishio kwa sababu kuna vitu ulikuwa unafanya kama mtaalamu ila sasa hivi umejikuta
unaogopa, una-resist, una-justify kwa kusema "ni kwa wataalamu tu."

Kama ulikuwa hujui ile theory ya Darwin: Survival for the Fittest na Natural Selection, basi leo utaijua kwa vitendo vyake Dunia huwa haichagui mwenye nguvu au mwenye akili sana inaendelea na yule anayeweza ku-adapt kwa kasi.
Kama Al inakupita, jiulize " wewe ni nani kwenye ecosystem hii ya mabadiliko?"
#Nilikuwepo
#Dogowanonde