FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kwakuwa mahitaji ya tairi za pikipiki na makubwa nchini Tz, Ke, bado hatuna hii mashine? Video ina maelezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi ni kilimo tu. Tunatakiwa kujikita kwenye kilimo, uvuvi na ufugaji.Sido na Veta na vyuo vya ufundi hizi ndiyo kozi za kufundisha...
Lakini inabidi tupanuwe wigo wa mashine zinazoundwa SIDO, maana vipuri vya pikipiki viko on very high demandSisi ni kilimo tu. Tunatakiwa kujikita kwenye kilimo, uvuvi na ufugaji.
Kwakuwa mahitaji ya tairi za pikipiki na makubwa nchini Tz, Ke, bado hatuna hii mashine? Video ina maelezo
Una mbeep mchinaLakini inabidi tupanuwe wigo wa mashine zinazoundwa SIDO, maana vipuri vya pikipiki viko on very high demand
Tupate hiyo teknolojia kwanza, mambo ya regulations yatafuataTBS wakae macho, hizo tyres siamini ubora wake, ndo za wale wachina nadhani