Hii ndio mishahara elekezi ya kulipa madada wa kazi kulingana na Shirika la kutetea haki zao. Chini ya Elfu 60 haikubaliki!

Hii ndio mishahara elekezi ya kulipa madada wa kazi kulingana na Shirika la kutetea haki zao. Chini ya Elfu 60 haikubaliki!

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Najua humu jukwaani kutakuwa kuna watu ambao majumbani mwenu mtakuwa na madada wa kazi ambao huwasaidia na shughuli za nyumbani

Hivi karibuni kumekuwa na shirika ambalo limejitokeza kutetea haki za madada wa kazi Shirika linaloitwa initiative for domestic workers

Akizungumza kwenye mahojiano na Wasafi FM, Mwenyekiti wa Chama hicho amesema:

"Mfanyakazi wa ndani anayeishi na muajiri wake anatakiwa alipwe kuanzia Tsh. Elfu 60+ , yule anayeenda na na kurudi alipwe kuanzia Laki 120+ anayefanya kazi kwa viongozi mawaziri na wabunge wanatakiwa kulipwa kuanzia laki 200+ , Wanaofanya kazi kwa Wafanyabiashara wakubwa na Mabalozi wanatakiwa kulipwa kuanzia laki 250+ “

=====================


Wewe dada wako wa kazi huwa unamlipa shilingi ngapi?
 
Kwanini hilo shirika lisingekuwa linawalipa wadada wa kazi huku makwetu waje wafanye kazi tu???

Hii ingesaidia sana
 
Na umri wa mdada wa kaazi wa chini kabisa ni miaka kingapi kisheria?
 
Back
Top Bottom