Hii ndio namna sahihi ya kuwaadhibu watu maarufu na wasanii

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,704
Reaction score
9,932
Ukitaka kumpa adhabu celebrity au socialite. Achana na habari za unfollow.

Unfollow haimuumizi sana mtu aliyejenga brand na anaaminika sababu mitikasi yake itaendelea kumuendea.

Ukitaka kumpa adhabu celebrity gusa kwenye vyanzo vyake vya uchumi hapo ni dakika tu anashika adabu yake.

Nenda shambulia wadhamini wao.

Fanyeni tiktok challenge kuikejeli au kuikataa bidhaa sababu ya celebrity fulani.

Discourage watu kwenda kwenye events zao haswa shows au appearance.

Achaneni na unfollow ndio maana uwa hawastuki sababu athari zake si kubwa.
 
Hadi ww leo unamkataa Mondi?..
 
Bonge la wazo....watu waanze challenge ya kukataa bidhaa zinaaosimamiwa na machawa
 
Hadi ww leo unamkataa Mondi?..
Jamaa amebatizwa kwa maji na moto.

Bado mlango upo wazi,bendera ya machawa imeshuka nusu mlingoti.

Chawa republic wanazidi kupata hasara,waumini wanaokoka sana safari hii
20251005_002527.jpg
 
Ukitaka kumpa adhabu celebrity au socialite. Achana na habari za unfollow.

Unfollow haimuumizi sana mtu aliyejenga brand na anaaminika sababu mitikasi yake itaendelea kumuendea.

Ukitaka kumpa adhabu celebrity gusa kwenye vyanzo vyake vya uchumi hapo ni dakika tu anashika adabu yake.

Nenda shambulia wadhamini wao.

Fanyeni tiktok challenge kuikejeli au kuikataa bidhaa sababu ya celebrity fulani.

Discourage watu kwenda kwenye events zao haswa shows au appearance.

Achaneni na unfollow ndio maana uwa hawastuki sababu athari zake si kubwa.
Njia zote zitumike kwa pamoja siyo kama unavyo shauri wewe ...kuhusu show waende ila wakinukishe huko hata wakifanikiwa kuchomoa roho ya huyo msanii itakuwa vyema zaidi ...hakuna kitu wasanii wanakiogopa kama kikinuka kwenye show ...watokee watu wenye hasira kali....wao uchache wa watu unawaumiza kidogo ila hofu yao ni uhai wao kwenye hizo show kutoka kwa watu wenye uchungu
 
Siasa za mauaji ndio unazungumzia,au kutekana kishamba,ikiwa unafaidika na hiki kinachoendea vunga,kunywa damu,lala.
Kwahiyo wasanii ndio wameua raia? Mnawakasirikia wasanii vitu ambavyo havimake sense mnaenda na mihemko badala ya kutumia akili za kawaida
 
Ukitaka kumpa adhabu celebrity au socialite. Achana na habari za unfollow.

Unfollow haimuumizi sana mtu aliyejenga brand na anaaminika sababu mitikasi yake itaendelea kumuendea.

Ukitaka kumpa adhabu celebrity gusa kwenye vyanzo vyake vya uchumi hapo ni dakika tu anashika adabu yake.

Nenda shambulia wadhamini wao.

Fanyeni tiktok challenge kuikejeli au kuikataa bidhaa sababu ya celebrity fulani.

Discourage watu kwenda kwenye events zao haswa shows au appearance.

Achaneni na unfollow ndio maana uwa hawastuki sababu athari zake si kubwa.
Point kubwa sana
 
Kwahiyo wasanii ndio wameua raia? Mnawakasirikia wasanii vitu ambavyo havimake sense mnaenda na mihemko badala ya kutumia akili za kawaida
Unaishi nchi hii? No offense sishabikii uharibifu, but wasanii ndio wamekuwa speakers za wanasiasa, wkt wananchi wakitaka changes wao wakatimika kuonyesha dharau

Reaction waliyopata , ni message always stand na wananchi or face it the hardway

Wananchi ndio wanawapa maisha, not politicians
 
Ukitaka kumpa adhabu celebrity au socialite. Achana na habari za unfollow.

Unfollow haimuumizi sana mtu aliyejenga brand na anaaminika sababu mitikasi yake itaendelea kumuendea.

Ukitaka kumpa adhabu celebrity gusa kwenye vyanzo vyake vya uchumi hapo ni dakika tu anashika adabu yake.

Nenda shambulia wadhamini wao.

Fanyeni tiktok challenge kuikejeli au kuikataa bidhaa sababu ya celebrity fulani.

Discourage watu kwenda kwenye events zao haswa shows au appearance.

Achaneni na unfollow ndio maana uwa hawastuki sababu athari zake si kubwa.
Umeongea bonge la point.

Hii ikifanyika ni dakika 30 tu hamna msanii atapata deal
 
Unaishi nchi hii? No offense sishabikii uharibifu, but wasanii ndio wamekuwa speakers za wanasiasa, wkt wananchi wakitaka changes wao wakatimika kuonyesha dharau

Reaction waliyopata , ni message always stand na wananchi or face it the hardway

Wananchi ndio wanawapa maisha, not politicians
Sio kila msanii ni mwanaharakati Wasanii wanakuwa karibu na CCM ni kwasababu ya kulinda biashara zao lakini pia kupata kipato unajua show za CCM zinawaingizia kipato kikubwa kuliko hata zingine labda kwa wale wanapata show za nje. Hivi nikuulize mfano Diamond au Alikiba wakagawa against na serikali je media zao zitakuwa kwenye Hali gani? Kwasababu control nzima inafanywa na serikali wakiwekewa Kodi kubwa kwa kukomolewa vipi ustawi wao wa biashara itakuaje vipi kuhusu na biashara zao zingine?
 
Je mkishafanya hivyo inawasaidia Nini? Kama hatupendi kuheshimu itikadi ya kisiasa ya watu wengine basi moja kwa moja hatujui maana halisi ya demokrasia huo ni upuuzi sio ujanja
Nikikuulia familia yako halafu kwasababu ninapesa nikakushinda kila sehemu kupata haki yako, kesho ukamuona mojawapo ya rafiki yako yupo na mimi tukila bata huyo rafiki utaendelea nae kuwa washkaji?
 
Unalilia demokrasia wakati we hutaki uhuru wa kidemokrasia kwa huyo umuitae msanii kuwa kwenye upande wake autakao!
Unataka wewe tu ndo usikilizwe?
Sa una tofauti gani na hao mbogamboga ambao wao kuwa chama lingine ni ugomvi wa visu?
Badilika boss unapoishia uhuru wako basi uhuru wa mwingine unaanzia hapohapo!
 
Ukitaka kumpa adhabu celebrity gusa kwenye vyanzo vyake vya uchumi hapo ni dakika tu anashika adabu yake.

Nenda shambulia wadhamini wao.

Fanyeni tiktok challenge kuikejeli au kuikataa bidhaa sababu ya celebrity fulani.

Discourage watu kwenda kwenye events zao haswa shows au appearance.
Hii imehifadhiwa kwa utelekezaji utaleta mrejesho....
 
Unalilia demokrasia wakati we hutaki uhuru wa kidemokrasia kwa huyo umuitae msanii kuwa kwenye upande wake autakao!
Unataka wewe tu ndo usikilizwe?
Sa una tofauti gani na hao mbogamboga ambao wao kuwa chama lingine ni ugomvi wa visu?
Badilika boss unapoishia uhuru wako basi uhuru wa mwingine unaanzia hapohapo!
Kabla sijakwambia chochote kwa ulichoandika kwanza niambie Tanzania ilipata Uhuru mwaka gani? Jibu swali hilo halafu nikwambie kitu...
 
Nikikuulia familia yako halafu kwasababu ninapesa nikakushinda kila sehemu kupata haki yako, kesho ukamuona mojawapo ya rafiki yako yupo na mimi tukila bata huyo rafiki utaendelea nae kuwa washkaji?
Swali fikirishi ila kwa mimi ni big 👎
 
Back
Top Bottom