Hii ndio namna sahihi ya kuwaadhibu watu maarufu na wasanii

Nikikuulia familia yako halafu kwasababu ninapesa nikakushinda kila sehemu kupata haki yako, kesho ukamuona mojawapo ya rafiki yako yupo na mimi tukila bata huyo rafiki utaendelea nae kuwa washkaji?
Hakuna msanii aliyewaza Tanzania kutakuwa na mauaji na wasanii wetu wengi wao sio wasomi na sio wanaharakati huwa wanafanya Sanaa yao Kama kazi Chadema wakimlipa diamond pesa ya maana sidhani Kama diamond anaweza kukataa, unajua diamond analipwa kiasi gani kwa show yake tu moja pale CCM? wasanii wengi ambao hawana uwezo wa kufanya show za nje shows za CCM ndizo zinawalipa vizuri.Ukiachana na hivyo ni lazima wasanii wajenge mahusiano mazuri na Serikali ili biashara zao zistawi Kodi wanazotozwa ni rafiki sana Je wangekuwa ni against na serikali unafikiri Nini kingetokea hivi unawaona bakressa, GSM na MO ni wajinga kuwa CCM? Kwanini na hawa msiwasusia bidhaa zao Kama mnavyofanya kwa wasanii
 
Mwanangu tulia usilie sana watu bado hatujaanua matanga na wengine bado hawajazika mpaka leo usione wamekaa kimya ukadhani wameshasahau....
 
Kabla sijakwambia chochote kwa ulichoandika kwanza niambie Tanzania ilipata Uhuru mwaka gani? Jibu swali hilo halafu nikwambie kitu...
Tanzania haijawahi kuwa taifa lililopigania uhuru kwa umoja
 
Hata hvyo itachukua muda sana mpaka waanze kupiga tena hela za kwenye show,ona tu wameshindwa hata kutoa ngoma mpya
 
Kuteka na kupiga watu risasi ni itikadi ipi ya kisaisa?
Wasanii hapo wanahusika vipi kwamba wao ndio wanaua? au wametoa order ya kuua? Sasa mkuu hasa muwe na hasira nao kiasi kikubwa ni Nini?
 
Back
Top Bottom