sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,704
- 9,932
Hadi ww leo unamkataa Mondi?..Ukitaka kumpa adhabu celebrity au socialite. Achana na habari za unfollow.
Unfollow haimuumizi sana mtu aliyejenga brand na anaaminika sababu mitikasi yake itaendelea kumuendea.
Ukitaka kumpa adhabu celebrity gusa kwenye vyanzo vyake vya uchumi hapo ni dakika tu anashika adabu yake.
Nenda shambulia wadhamini wao.
Fanyeni tiktok challenge kuikejeli au kuikataa bidhaa sababu ya celebrity fulani.
Discourage watu kwenda kwenye events zao haswa shows au appearance.
Achaneni na unfollow ndio maana uwa hawastuki sababu athari zake si kubwa.
Bonge la wazo....watu waanze challenge ya kukataa bidhaa zinaaosimamiwa na machawaUkitaka kumpa adhabu celebrity au socialite. Achana na habari za unfollow.
Unfollow haimuumizi sana mtu aliyejenga brand na anaaminika sababu mitikasi yake itaendelea kumuendea.
Ukitaka kumpa adhabu celebrity gusa kwenye vyanzo vyake vya uchumi hapo ni dakika tu anashika adabu yake.
Nenda shambulia wadhamini wao.
Fanyeni tiktok challenge kuikejeli au kuikataa bidhaa sababu ya celebrity fulani.
Discourage watu kwenda kwenye events zao haswa shows au appearance.
Achaneni na unfollow ndio maana uwa hawastuki sababu athari zake si kubwa.
Jamaa amebatizwa kwa maji na moto.Hadi ww leo unamkataa Mondi?..
Tunaheshimu sana wao sasa akili zao ni ndogoJe mkishafanya hivyo inawasaidia Nini? Kama hatupendi kuheshimu itikadi ya kisiasa ya watu wengine basi moja kwa moja hatujui maana halisi ya demokrasia huo ni upuuzi sio ujanja
Siasa za mauaji ndio unazungumzia,au kutekana kishamba,ikiwa unafaidika na hiki kinachoendea vunga,kunywa damu,lala.Je mkishafanya hivyo inawasaidia Nini? Kama hatupendi kuheshimu itikadi ya kisiasa ya watu wengine basi moja kwa moja hatujui maana halisi ya demokrasia huo ni upuuzi sio ujanja
Njia zote zitumike kwa pamoja siyo kama unavyo shauri wewe ...kuhusu show waende ila wakinukishe huko hata wakifanikiwa kuchomoa roho ya huyo msanii itakuwa vyema zaidi ...hakuna kitu wasanii wanakiogopa kama kikinuka kwenye show ...watokee watu wenye hasira kali....wao uchache wa watu unawaumiza kidogo ila hofu yao ni uhai wao kwenye hizo show kutoka kwa watu wenye uchunguUkitaka kumpa adhabu celebrity au socialite. Achana na habari za unfollow.
Unfollow haimuumizi sana mtu aliyejenga brand na anaaminika sababu mitikasi yake itaendelea kumuendea.
Ukitaka kumpa adhabu celebrity gusa kwenye vyanzo vyake vya uchumi hapo ni dakika tu anashika adabu yake.
Nenda shambulia wadhamini wao.
Fanyeni tiktok challenge kuikejeli au kuikataa bidhaa sababu ya celebrity fulani.
Discourage watu kwenda kwenye events zao haswa shows au appearance.
Achaneni na unfollow ndio maana uwa hawastuki sababu athari zake si kubwa.
Kwahiyo wasanii ndio wameua raia? Mnawakasirikia wasanii vitu ambavyo havimake sense mnaenda na mihemko badala ya kutumia akili za kawaidaSiasa za mauaji ndio unazungumzia,au kutekana kishamba,ikiwa unafaidika na hiki kinachoendea vunga,kunywa damu,lala.
Wangekuwa na akili ndogo wasingefanikiwa kwenye career zaoTunaheshimu sana wao sasa akili zao ni ndogo
MI brodah,kama unazotumia ni akili,basi we endelea kutumia tuKwahiyo wasanii ndio wameua raia? Mnawakasirikia wasanii vitu ambavyo havimake sense mnaenda na mihemko badala ya kutumia akili za kawaida
Point kubwa sanaUkitaka kumpa adhabu celebrity au socialite. Achana na habari za unfollow.
Unfollow haimuumizi sana mtu aliyejenga brand na anaaminika sababu mitikasi yake itaendelea kumuendea.
Ukitaka kumpa adhabu celebrity gusa kwenye vyanzo vyake vya uchumi hapo ni dakika tu anashika adabu yake.
Nenda shambulia wadhamini wao.
Fanyeni tiktok challenge kuikejeli au kuikataa bidhaa sababu ya celebrity fulani.
Discourage watu kwenda kwenye events zao haswa shows au appearance.
Achaneni na unfollow ndio maana uwa hawastuki sababu athari zake si kubwa.
Unaishi nchi hii? No offense sishabikii uharibifu, but wasanii ndio wamekuwa speakers za wanasiasa, wkt wananchi wakitaka changes wao wakatimika kuonyesha dharauKwahiyo wasanii ndio wameua raia? Mnawakasirikia wasanii vitu ambavyo havimake sense mnaenda na mihemko badala ya kutumia akili za kawaida
Umeongea bonge la point.Ukitaka kumpa adhabu celebrity au socialite. Achana na habari za unfollow.
Unfollow haimuumizi sana mtu aliyejenga brand na anaaminika sababu mitikasi yake itaendelea kumuendea.
Ukitaka kumpa adhabu celebrity gusa kwenye vyanzo vyake vya uchumi hapo ni dakika tu anashika adabu yake.
Nenda shambulia wadhamini wao.
Fanyeni tiktok challenge kuikejeli au kuikataa bidhaa sababu ya celebrity fulani.
Discourage watu kwenda kwenye events zao haswa shows au appearance.
Achaneni na unfollow ndio maana uwa hawastuki sababu athari zake si kubwa.
Sio kila msanii ni mwanaharakati Wasanii wanakuwa karibu na CCM ni kwasababu ya kulinda biashara zao lakini pia kupata kipato unajua show za CCM zinawaingizia kipato kikubwa kuliko hata zingine labda kwa wale wanapata show za nje. Hivi nikuulize mfano Diamond au Alikiba wakagawa against na serikali je media zao zitakuwa kwenye Hali gani? Kwasababu control nzima inafanywa na serikali wakiwekewa Kodi kubwa kwa kukomolewa vipi ustawi wao wa biashara itakuaje vipi kuhusu na biashara zao zingine?Unaishi nchi hii? No offense sishabikii uharibifu, but wasanii ndio wamekuwa speakers za wanasiasa, wkt wananchi wakitaka changes wao wakatimika kuonyesha dharau
Reaction waliyopata , ni message always stand na wananchi or face it the hardway
Wananchi ndio wanawapa maisha, not politicians
Nikikuulia familia yako halafu kwasababu ninapesa nikakushinda kila sehemu kupata haki yako, kesho ukamuona mojawapo ya rafiki yako yupo na mimi tukila bata huyo rafiki utaendelea nae kuwa washkaji?Je mkishafanya hivyo inawasaidia Nini? Kama hatupendi kuheshimu itikadi ya kisiasa ya watu wengine basi moja kwa moja hatujui maana halisi ya demokrasia huo ni upuuzi sio ujanja
Hii imehifadhiwa kwa utelekezaji utaleta mrejesho....Ukitaka kumpa adhabu celebrity gusa kwenye vyanzo vyake vya uchumi hapo ni dakika tu anashika adabu yake.
Nenda shambulia wadhamini wao.
Fanyeni tiktok challenge kuikejeli au kuikataa bidhaa sababu ya celebrity fulani.
Discourage watu kwenda kwenye events zao haswa shows au appearance.
Kabla sijakwambia chochote kwa ulichoandika kwanza niambie Tanzania ilipata Uhuru mwaka gani? Jibu swali hilo halafu nikwambie kitu...Unalilia demokrasia wakati we hutaki uhuru wa kidemokrasia kwa huyo umuitae msanii kuwa kwenye upande wake autakao!
Unataka wewe tu ndo usikilizwe?
Sa una tofauti gani na hao mbogamboga ambao wao kuwa chama lingine ni ugomvi wa visu?
Badilika boss unapoishia uhuru wako basi uhuru wa mwingine unaanzia hapohapo!
Swali fikirishi ila kwa mimi ni big 👎Nikikuulia familia yako halafu kwasababu ninapesa nikakushinda kila sehemu kupata haki yako, kesho ukamuona mojawapo ya rafiki yako yupo na mimi tukila bata huyo rafiki utaendelea nae kuwa washkaji?