Hakuna msanii aliyewaza Tanzania kutakuwa na mauaji na wasanii wetu wengi wao sio wasomi na sio wanaharakati huwa wanafanya Sanaa yao Kama kazi Chadema wakimlipa diamond pesa ya maana sidhani Kama diamond anaweza kukataa, unajua diamond analipwa kiasi gani kwa show yake tu moja pale CCM? wasanii wengi ambao hawana uwezo wa kufanya show za nje shows za CCM ndizo zinawalipa vizuri.Ukiachana na hivyo ni lazima wasanii wajenge mahusiano mazuri na Serikali ili biashara zao zistawi Kodi wanazotozwa ni rafiki sana Je wangekuwa ni against na serikali unafikiri Nini kingetokea hivi unawaona bakressa, GSM na MO ni wajinga kuwa CCM? Kwanini na hawa msiwasusia bidhaa zao Kama mnavyofanya kwa wasaniiNikikuulia familia yako halafu kwasababu ninapesa nikakushinda kila sehemu kupata haki yako, kesho ukamuona mojawapo ya rafiki yako yupo na mimi tukila bata huyo rafiki utaendelea nae kuwa washkaji?
Mwanangu tulia usilie sana watu bado hatujaanua matanga na wengine bado hawajazika mpaka leo usione wamekaa kimya ukadhani wameshasahau....Hakuna msanii aliyewaza Tanzania kutakuwa na mauaji na wasanii wetu wengi wao sio wasomi na sio wanaharakati huwa wanafanya Sanaa yao Kama kazi Chadema wakimlipa diamond pesa ya maana sidhani Kama diamond anaweza kukataa, unajua diamond analipwa kiasi gani kwa show yake tu moja pale CCM? wasanii wengi ambao hawana uwezo wa kufanya show za nje shows za CCM ndizo zinawalipa vizuri.Ukiachana na hivyo ni lazima wasanii wajenge mahusiano mazuri na Serikali ili biashara zao zistawi Kodi wanazotozwa ni rafiki sana Je wangekuwa ni against na serikali unafikiri Nini kingetokea hivi unawaona bakressa, GSM na MO ni wajinga kuwa CCM? Kwanini na hawa msiwasusia bidhaa zao Kama mnavyofanya kwa wasanii
Tanzania haijawahi kuwa taifa lililopigania uhuru kwa umojaKabla sijakwambia chochote kwa ulichoandika kwanza niambie Tanzania ilipata Uhuru mwaka gani? Jibu swali hilo halafu nikwambie kitu...
Kwa hio unasema Tanzania ilipewa Uhuru mwaka gani?Tanzania haijawahi kuwa taifa lililopigania uhuru kwa umoja
Hakuna nchi iitwayo Tanzania iliwahi kupewa uhuru bossKwa hio unasema Tanzania ilipewa Uhuru mwaka gani?
Kwa maana hio unamaanisha Tanzania ilipata Uhuru au haikupewa Uhuru?Hakuna nchi iitwayo Tanzania iliwahi kupewa uhuru boss
Boss hujaelewa Nini hapo? hakuna nchi iitwayo Tanzania iliyopigania uhuru kutoka ukoloni.Kwa maana hio unamaanisha Tanzania ilipata Uhuru au haikupewa Uhuru?
Hujajibu swali nimekuuliza ilipata Uhuru au haikupewa Uhuru?Boss hujaelewa Nini hapo? hakuna nchi iitwayo Tanzania iliyopigania uhuru kutoka ukoloni.
Kuteka na kupiga watu risasi ni itikadi ipi ya kisaisa?Je mkishafanya hivyo inawasaidia Nini? Kama hatupendi kuheshimu itikadi ya kisiasa ya watu wengine basi moja kwa moja hatujui maana halisi ya demokrasia huo ni upuuzi sio ujanja
Kila mtanganyika ataguswakwa wakati wakesinza pazuri ni wewe mwenyewe chawa wa WCB umeandika hii au Kuna mtu kaiba simu Yako mkuu
Wasanii hapo wanahusika vipi kwamba wao ndio wanaua? au wametoa order ya kuua? Sasa mkuu hasa muwe na hasira nao kiasi kikubwa ni Nini?Kuteka na kupiga watu risasi ni itikadi ipi ya kisaisa?