Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Kikwete atasubiri sana-Baba (Yoweri Museveni) ni Rais
-Mama (Janeth Museveni) ni Waziri wa Elimu
-Mtoto (Muhoozi Kainerugaba) ni Mkuu wa Majeshi, CDF
Waafrika bado tuna safari ndefu sana.
Tupe story kidogoIla huyo mama ni mzuri sana sijui ilikuwaje mzee kikwete kuoa yule mbunge wa mchinga
Mama Salma ni mzuri kuliko huyu mwenye sura ya kiumeKwani hujui Kagame alikuwa na Museven msituni?
Je hujui Kagame alikuwa ndio mkuu wa Usalama Uganda?
Sasa kitu ndio ipo mubasharaHii ndio ile tulijifunza king kabaka of buganda kingdom in intelercustrine region?
Na wote Tutsi tribeKwani hujui Kagame alikuwa na Museven msituni?
Je hujui Kagame alikuwa ndio mkuu wa Usalama Uganda?