Hii ndio nchi ya Uganda

Hii ndio nchi ya Uganda

-Baba (Yoweri Museveni) ni Rais

-Mama (Janeth Museveni) ni Waziri wa Elimu

-Mtoto (Muhoozi Kainerugaba) ni Mkuu wa Majeshi, CDF



Waafrika bado tuna safari ndefu sana.
Kikwete atasubiri sana
1. JK rais mstaafu
2. Ridhwan mbunge na waziri ni mtoto wa Kikwete
3. Mama Salma ni mbunge mke wa Kikwete
 
Aliewatishia Kenya kuwa atawatandika kwa masaa ndio kawa CDF
Ndio Rais ajae huyo na uchaguzi wa miafrika huwa ni zuga popote pale
 
Vipi kwani hawana sifa ya kushika nafasi hizo?
 
Back
Top Bottom