Standards Person
JF-Expert Member
- Apr 22, 2021
- 672
- 860
Kama Tanga vilevile viongozi walitoa amri viwanja viuzwe kwa square meter moja 1500. Watu waliuziwa kwa mara ya pili kwasababu eti hapo awali walivamia jambo ambalo sio kweli. Hapo rushwa ilitembea hadharani. Serikali imepata kidogotuIna maana Mbezi Beach na Goba Municipal Council hazipo? Mbona viwanja vinauzwa bei ya Prado kule
Maisha ni yale yale tuu, pembeni ya mgodi unakuta watu wanaangaika maji Safi na salama yanasumbua , shule watoto wanakaa chini, watu awanufaiki kwa hivi vitu, sisi waafrika tubadilikeMwanza City= Nyamagana kwa hiyo nayo zaidi ya Mwanza CC na Ilemela MC Halmashauri zingine ni njaa kali
Huu ni uzembe wa hizo halmashauri,pesa wanapeleka wapi ? au ndio kujenga mastendi na masoko yasiyo na faida kwa watu wa kawaida?Maisha ni yale yale tuu, pembeni ya mgodi unakuta watu wanaangaika maji Safi na salama yanasumbua , shule watoto wanakaa chini, watu awanufaiki kwa hivi vitu, sisi waafrika tubadilike
Hivi Chato toka JPM afariki, Kuna ndege yeyote imeenda kule?Huu ni uzembe wa hizo halmashauri,pesa wanapeleka wapi ? au ndio kujenga mastendi na masoko yasiyo na faida kwa watu wa kawaida?
Katoro ipo Chato DCSijaona Katoro hapo Ushirombo au zimeingizwa Geita?
Inawezekana mapato mengi ya Bukoba MC ni ya TRA ndo maaana ikazidiwa na Muleba DC. Vilevile Muleba ni kubwa sana na ina eneo kubwa sana la ziwa.Muleba imeizid bukoba mjini yenye bandari na viwanda na viwanja vya ndege naomba nielimishwe kidogo.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Bukoba MC ni maskini sana hapo,TRA hii hapa napo hampoInawezekana mapato mengi ya Bukoba MC ni ya TRA ndo maaana ikazidiwa na Muleba DC. Vilevile Muleba ni kubwa sana na ina eneo kubwa sana la ziwa.
Sana tu. Asilimia kubwa ya mbao, chai na matunda ya nchi hii yanatoka wilaya hiyoMkoa wa Iringa inaonekana kuna hela sana, hasa Wilaya ya Mufindi.
Tena sana ukiangalia Halmashauri zake hapo hakuna yenye mapato chini ya 1b.Sema bado sana kutumia ile potential yake fullNilijua mbeya baada ya kuigawa itakuwa taabani,bado iko vizuri
Sasa unadhani Serikali inapata wapi mapato yake kama sio kutoka kwa wananchi? acha kutukana hovyounatumia mapato ya serikali kujua mapato ya wananchi?
Like really?
Yaani serikali?Motherfvcken serikali?
Nigga are you serious?
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 imepungua kiaina, sio kushuka kabisa. Tunduma ni mji wenye amsha amsha sana za kibiashara, unabeiba mkoa wa SongweNilijua mbeya baada ya kuigawa itakuwa taabani,bado iko vizuri
Na unaimwagilia daily na mbolea son. Well done[emoji23][emoji23] get a medalFrom the palm tree around my home [emoji23]
Moshi inatia huruma na zile safari za kuhesabisa hamna kitu ,kimji cha kizamani kimechoka kama taulo la guest
Moshi inatia huruma na zile safari za kuhesabisa hamna kitu ,kimji cha kizamani kimechoka kama taulo la guest
Sio kweli....Makambako ni TC ndani ya wilaya ya Wanging'ombe mkoa wa Njombe.Makambako ipo ndani ya Mufindi
Soma data hapo, tunaangalia researched and proved information sio mambo ya kubuni.Hujui kitu Mwanza City ni Nyamagana ipo. Ilemela ni Municipal ipo. Sasa jumlisha ya Mwanza jiji na Ilemela halafu linganisha na ya Arusha city jibu utalipata !
Eeh bwana, kama saa hizi hakufai kabisa, kuna baridi na mvua za ajabu ajabu tu japo ndiyo zinaishia. Ila yote tisa kama unataka kuwekeza kwa muda mrefu, Mufindi is the best place. Ardhi inapatikana kirahisi kwa gharama nzuri. Vibarua wapo wa kutosha tena waaminifu sana: Zao ambalo linalipa kwa muda mrefu kama una mtaji wa kutosha ni miti na parachichi.Aisee... hoping to come some days. Kila mahali paendelee bwana. Ili wivu upungue[emoji23] siyo kila mtu akiwa kiongozi aanze kusimamisha maendeleo ya sehem filan kuhamishia kungine ili ibalance. Nitakuja bestie yangu huko. Ila baridi[emoji26][emoji26][emoji26]
Tangu lini Katoro ikawa Chato ?Katoro ipo Chato DC
Naona mnakomaa tuu na Mufindi mnasahau Kilolo huko inakopakana na Mkoa wa Morogoro nako mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] hali ya hewa ni nzuri,udongo fertile na mvua za kuzidi.Eeh bwana, kama saa hizi hakufai kabisa, kuna baridi na mvua za ajabu ajabu tu japo ndiyo zinaishia. Ila yote tisa kama unataka kuwekeza kwa muda mrefu, Mufindi is the best place. Ardhi inapatikana kirahisi kwa gharama nzuri. Vibarua wapo wa kutosha tena waaminifu sana: Zao ambalo linalipa kwa muda mrefu kama una mtaji wa kutosha ni miti na parachichi.
Ukipanda parachichi ukanda huu, huwa zinazaa kipindi cha tofauti na sehemu nyingine, hivyo wakati hayapatikana kwa urahisi sehemu nyingine huku ndiyo yanaanza kutoka. Karibu sana Mkuu, naamini mambo yatakaa poa tu, Mama kasema atakuwa hatunyang'anyi pesa zetu na kutubambikizia kodi kama Marehemu alivyokuwa anafanya.
PEACE OUT [emoji3577] [emoji3577] [emoji3577] [emoji3577]