Kujenga nyumba ya kuishi sio maendeleo ndio maana pamoja na majengo hayo yote kwenye kuzalisha mapato huoni halmashauri za mkoa wa Kilimanjaro zikifanya vizuri.
Wangeweza kufanya uwekezaji ambao una tija na kujenga makazi yenye ubora, Kilimanjaro ina uhaba wa ardhi kwa sabab ya matumizi ya hovyo ya ardhi ikiwemo kujenga majengo ambayo hakuna hata wa kuishi na kujikatia mashamba ambayo hata hayazalishi chochote cha maana. Kama ulimsikia Kimei nadhani anatoa hoja bungeni wapatiwe ardhi ya ziada.[emoji116][emoji116]
Upumbavu ni hiyo namna unayoamini wewe kuwa ukienda kujenga nyumba ya kuishi kijijini kwenu utakuwa umewaridhisha ndugu na jamaa na kificha hiyo unayoita aibu wakati hakuna namna umeinua hali zao za maisha.
Ndugu na jamaa zako wanashindia mlo mmoja, wamejaa viraka, elimu duni, hawana shughuli za kuwapatia kipato nk nk then we la maana unaloona ni kujenga nyumba nzuri kisha walale humo na njaa na viraka vyao.[emoji116][emoji116]
Sent using
Jamii Forums mobile app