Mapank
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 4,130
- 6,097
Viwanda vikubwa vipya vingi vimejengwa kipindi cha mwendazakePato la Chalinze linashangaza. Eneo kubwa ni pori - Mlandizi/Chalinze,Chalinze kwenda Moro na hivyo hivyo Chalinze Tanga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viwanda vikubwa vipya vingi vimejengwa kipindi cha mwendazakePato la Chalinze linashangaza. Eneo kubwa ni pori - Mlandizi/Chalinze,Chalinze kwenda Moro na hivyo hivyo Chalinze Tanga.
Mmh mdau hapo juu kasema wanatoa mirabaha mikubwa tu kwenye halimashauri husika, Sasa nani yuko relevant kwenye hili swala? Opportunity CostHazito na ndiyo ujinga uliopo kwenye utalii wetu. Kinachukuliwa kikubwa. Wao hamna cha maana wanachorudisha kwa jamii
National parks hazitoi mirahaba kwa maeneo zilipo. Sana sana wanasaidia huduma za kijamii tu.Mmh mdau hapo juu kasema wanatoa mirabaha mikubwa tu kwenye halimashauri husika, Sasa nani yuko relevant kwenye hili swala? Opportunity Cost
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi mwenyew nashangaa.
Hadi wilaya ya misenyi yenye viwanda kama kagera sugar,kilimo cha vanilla,mpaka wa mutukula na Ranchi kibao inazidiwa na wilaya ya muleba iliyojaa migomba na kahawa
Kwani wakijenga vijijini kwao wanakuwa wamefilisika kiasi cha kushindwa kujenga mjini? We kama hupendi maendeleo ya kijijini kwenu hilo ni tatizo lako usitake kuamlia watu wengine! Mjini hapaendelezwi na wenyeji tu bali watu kutoka sehemu mbalimbali. Mfano Morogoro mjini hakuna mluguru anayemiliki kitu cha maana infact waluguru wote wamewaachia mji wageni wao wanajilimia magimbi yao huko milimani.
Hebu ficha upumbavu wako mkuu.
Kujenga nyumbani sio ufahari ni kukumbuka, kuenzi na kurudisha fadhila mahali ulipozaliwa na kukulia.
Pia inaepusha zile aibu hasa panapo tokea msiba au sherehe itakayo fanyikia nyumbani na kuhusisha ndugu, jamaa na marafiki kutoka mjini halafu wakute nyumbani pako hovyohovyo hali ya kuwa huku mjini uko vyema.
makusanyo ya korosha yanazidi utalii, unajua utalii unachangia asilimia ngapi bajeti ya Tanzania?Makusanyo ya kwenye korosho sio mchezo, halafu wana madini ukumbuke hilo pia
Katoro ni Geita DCSijaona Katoro hapo Ushirombo au zimeingizwa Geita?
Vipi kuhusu Nyamagana,Simanjiro na Ngorongoro na Serengeti....?
Sabufa anakaa hapoDodoma Imeingiaje?
Binafsi sijashangaa Dodoma kuwepo na pia nisingeshangaa sana kuwepo top 3, kilicho nishangaza ni kukimbizana na Ilala,Dodoma Imeingiaje?
Serikali ichukue hatua isaidie,miaka 3 iliyopita Halmashauri za mkoa wa Tabora zilikuwa zinafanyika vizuri kwenye mapato lakini tangu Jiwe aharibu biashara ya tumbaku zimebaki hoi kabisa,the same na mbaazi na ufuta kwa mikoa ya kusiniKweli kuna mikoa hali zao ni mbaya sana
Na hapo wameimega wakazalisha Busokelo DCAISEEH KUMBE RUNGWE TUPO
xema hii haishagazwi sana coZ kuna vitu vingi vinaingza mapato kwenye wilaya hii mfano viwanda vya Chai. Viwanda vya maziwa (ASAS). Viwanda vya parachichi .....pia mazao ya kahawa n.k
Hizo data zimejaa ukiritimba hakuna kitu hapo.Lakini Makambako tunakosaje hapo?
Kwa sababu zimekiumbua kijiji chenu cha Makambako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizo data zimejaa ukiritimba hakuna kitu hapo.
Nielimishe tafadhali, maendeleo maana yake ni nini?Kujenga nyumba ya kuishi sio maendeleo ndio maana pamoja na majengo hayo yote kwenye kuzalisha mapato huoni halmashauri za mkoa wa Kilimanjaro zikifanya vizuri.
Wangeweza kufanya uwekezaji ambao una tija na kujenga makazi yenye ubora, Kilimanjaro ina uhaba wa ardhi kwa sabab ya matumizi ya hovyo ya ardhi ikiwemo kujenga majengo ambayo hakuna hata wa kuishi na kujikatia mashamba ambayo hata hayazalishi chochote cha maana. Kama ulimsikia Kimei nadhani anatoa hoja bungeni wapatiwe ardhi ya ziada.[emoji116][emoji116]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] yaani kama kule Tanga kila jimbo ni Halmashauri huu ni upuuzi ,hizi zingine dizaini ya kina bumbuli wazifute.Binafsi sijashangaa Dodoma kuwepo na pia nisingeshangaa sana kuwepo top 3, kilicho nishangaza ni kukimbizana na Ilala,
Nilitarajia gap kati ya ilala na namba 2(haijalishi awe nani) liwe kubwa haswaaa kama 10bn hivi.
Mzunguko uliopo k.koo si wakitoto hata kidogo, mapato ya k.koo tuu kwa mwezi, kuna mikoa mingi tuu halmashauri zake ukiziunganisha zinakimbizwa na k.koo,
Kuna baadhi ya halmashauri hela zinazoingiza zinakimbizwa na mtaa wa Congo.
Au Halmashauri ya Bumbuli jana nimemsikia Ummy akisema imekusanya 336Mil from July 2020-March 2021, almost miezi 9.
Sasa Haya si mapato ya duka Moja la Hardware pale k.koo???
Hizi ni dharau.
Wanachangia tuu kwenye huduma za jamiiMmh mdau hapo juu kasema wanatoa mirabaha mikubwa tu kwenye halimashauri husika, Sasa nani yuko relevant kwenye hili swala? Opportunity Cost
Mamlaka ya serikali za mitaa ALAT ingepigia kelele hili kama walichofanya kwenye kodi ya majengo/nyumba.Hazitoi na ndiyo ujinga uliopo kwenye utalii wetu. Kinachukuliwa kikubwa. Wao hamna cha maana wanachorudisha kwa jamii
Kuna Meru DC na Arusha DC wapi ni makao makuu ya Arusha DC na mipaka yake?Arusha imeipiga kikumbo Mwanza .... Inabidi Arumeru iwe manispaa sasa