That Gentleman
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,215
- 3,678
Kumbe Kahama siyo pakinyonge...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiji la dar ni ilala, zilizo baki ni manispaa, uzuri ukisoma andiko lake hapo juu utaona dar ni mjumuiko wa halmashauri zoteKama hoja yako ni kunyumbua Halmashauri za Dar na Mwanza ambazo zote ziko mjini inawezekana but kwa maoni yangu hai make sense maana zote ziko mjini tofauti na Halmashauri za Mikoani ambazo ziko mbali mbali
Mathalani mtu anasema Mwanza Jiji na Manispaa ya Ilemela sasa manaake nini wakati ni Jiji moja,the same to Manispaa za Jiji la Dar
Sasa pesa za TRA hazina faida kwa Halmashauri husika tofauti na hizi wanazokusanya na kutumia wenyeweNi kweli na ndiko zinakofujwa na ndiyo unaona kuna watu wananunua VXR kama Geita wakati wilaya ina uhaba wa madarasa kwa 51%
Wilaya ya Rombo peke yake inaweza kuwa na mapato makubwa kwenda serikali kuu kuliko Geita pamoja na kuwa haina madini wala rasilimali ya maana. Mpaka wa Holili na Tarakea unachangia pakubwa kutoka na cross border trade lakini kodi zake zinaenda serikali kuu moja kwa moja
Uziri wa trade kama hizi ni kuwa inainvolve wananchi wengi wa wilaya husika tofauti na wilaya zenye mgodi ambako hela wanaletewa tu kama mtu kaletewa mkate wenye siagi kwenye kisahani
Kahama kuna biashara kuna migodi kuna mabenk na taasisi za tuna kopesha lukuki, kuna mifuko ya pensheni, kuna uwanja wa ndege etc... Mh kuipa manispaa hakukoseaKumbe Kahama siyo pakinyonge...
Nitakuja kuishi kahama, napapenda kinoma...Kahama kuna biashara kuna migodi kuna mabenk na taasisi za tuna kopesha lukuki, kuna mifuko ya pensheni, kuna uwanja wa ndege etc... Mh kuipa manispaa hakukosea
Wapi ilipoizidi mkuu soma vizuriMlimba kunani, Mlimba inaizidi Moro mc kweli hatari.
Nimenyumbulisha kama ulivyoshauriJiji la dar ni ilala, zilizo baki ni manispaa, uzuri ukisoma andiko lake hapo juu utaona dar ni mjumuiko wa halmashauri zote
Mwanza sijui
Mbeya haipo hivyo wala Arusha sababu kuna mnyumbuliko wa halmashauri zingine
Tunapo chambua hizi Halmashauri au kuamua kuzinyumbua tuweke mnyumbuliko huo sababu kila Halmashauri ina mamlaka zake kwa kuzingatia jiografia mamlaka nk
Ni jambo ambalo sio sawa kwa kushindwa kuweka sawa data za kila mamlaka kwa kuzingatia vyanzo vyake vya mapato vya ndani...
Ukiulizwa mapato ya Halmashauri ya ubongo ni kiasi gani? Una weza kutuambia?
Serikali inachofanya ni unfair game. Kama ingekuwa inaruhusu halmashauri zikusanye kodi zenyewe then Percent fulani iende central gov ingekuwa sawa. Lakini yenyewe inakaba vyanzo vyote matokeo yake Wilaya zenye rasilimali chache zinasuffer sana. Kwa sababu ni kama zimekatwa mikono. Ila cha ajabu wilaya ambazo mapato ya ndani siyo makubwa wananchi wake wana afadhali sana ya kimaisha. Rejea takwimu za taifa za hali ya umasikini nchini utaelewa nachokwambiaSasa pesa za TRA hazina faida kwa Halmashauri husika tofauti na hizi wanazokusanya na kutumia wenyewe
Upigaji uko kote kote hasa Halmashauri maana wanakusanya wenyewe.Ujue Halmashauri zinatakiwa zijitegemee badala ya kusubiria ruzuku kutoka serikali kuu
Sawa lakini umewahi kufika katika pori hilo la kagera nkanda ukafahamu mkulima was hali yachini analima hekali ngapi, huwa ni kuanzia 5 mpaka 300 hecter, na kusingekuwa na mazao ya biashara wasingefungua soko la mazao tu sijui unafahamu Hilo, Burundi, Congo na Rwanda wanategemea nafaka kutoka katika soko hili mpya la mazao, njoo uone store za mazoa mfanya biashara was chini anagunia Kama 300 , Kuna sehemu moja inaitwa heru juu miti hii ya kupandwa ndio biashara imewatajirisha ghorofa zimeanza kujengwa kwa Kasi, vip kipato kitakuwa hakitoshi au,Wilaya ya kasulu bado haina uwezo wa makusanyo ya bilioni 3 , ni sawa na wilaya ya masasi halafu ukumbuke kasulu wanalima mazao ya chakula hakuna mazao ya biashara ya kueleweka, ukishatoa pori la kagera mkanda kule ni pakawaida sana, maana hata mpaka wa burundi kule munanila bado haujachangamka kulinganisha na border za Tunduma na Namanga au silari, japo kuna biashara sawa na masasi
Hivi aliyewadanganya Tunduru kuna korosho za kutisha sana ni nani?Makusanyo ya kwenye korosho sio mchezo, halafu wana madini ukumbuke hilo pia
Mapato ya halmashauri hayadecide purchasing power ya eneo husika..Moshi is dying
acha dharau kijana, hayo mapato wanayokusanya ya halmashauri nzima huku ni pesa ya mtu mmoja tu tena kaziweka ndani!!Moshi inatia huruma na zile safari za kuhesabisa hamna kitu ,kimji cha kizamani kimechoka kama taulo la guest
Mkuu Mufindi hakuna pesa kama zamani, marehemu Magufuli amepavuruga sana.Mkoa wa Iringa inaonekana kuna hela sana, hasa Wilaya ya Mufindi.
Hifadhi za utalii huwa hazitoi mirabaha kama hiyo migodi?Miji yenye madini na rasilimali kama hizo ina mapato makubwa ya ndani sababu ya mirahaba inayolipwa moja kwa moja halamashauri toka kwenye hiyo migodi. Lakini hizi hela haziko kwa wananchi zipo kwa ofisi DED ambako mara nyingi zopinakuwao mismanaged sana na kuacha wananchi wao kwenye lindi la umasikini wa kutupa.
Mji wa Moshi unachangia kodi kubwa kwa mapato ya serikali kuu kuliko Geita. Na hata Mkoa wa Kilimanjaro kwa Ujumla upo kwenye top ten ya mikoa inayochangia kodi Serikali kuu.
Sio Top Ten ni Top FiveMiji yenye madini na rasilimali kama hizo ina mapato makubwa ya ndani sababu ya mirahaba inayolipwa moja kwa moja halamashauri toka kwenye hiyo migodi. Lakini hizi hela haziko kwa wananchi zipo kwa ofisi DED ambako mara nyingi zopinakuwao mismanaged sana na kuacha wananchi wao kwenye lindi la umasikini wa kutupa.
Mji wa Moshi unachangia kodi kubwa kwa mapato ya serikali kuu kuliko Geita. Na hata Mkoa wa Kilimanjaro kwa Ujumla upo kwenye top ten ya mikoa inayochangia kodi Serikali kuu.
Kuna jamaa alinipa ABC ya jinsi wanavyofanya biashara ya miti ya nguzo kupeleka mgololo nilistaajabu sana. Biashara ya pesa balaa. Bado chai na mbao. Lakini siku nyingi wilaya hii inafanya vizuri.Mkuu Mufindi hakuna pesa kama zamani, marehemu Magufuli amepavuruga sana.
Mufindi kuko vizuri sana mkuu, sema tu marehemu alivuruga mambo mengi sana. Miti saa hizi imeshuka bei hivyo wajanja hawavuni wanasubiri bei ipande juu tena.Kuna jamaa alinipa ABC ya jinsi wanavyofanya biashara ya miti ya nguzo kupeleka mgololo nilistaajabu sana. Biashara ya pesa balaa. Bado chai na mbao. Lakini siku nyingi wilaya hii inafanya vizuri.
Jiwe hakupenda watu kuwa na hela kabisa.
Muleba ina mialo mingi ya Uvuvi Samaki na dagaaKwahiyo Mleba ina kipato kuliko Bukoba na Karagwe....
Kwani wakijenga vijijini kwao wanakuwa wamefilisika kiasi cha kushindwa kujenga mjini? We kama hupendi maendeleo ya kijijini kwenu hilo ni tatizo lako usitake kuamlia watu wengine! Mjini hapaendelezwi na wenyeji tu bali watu kutoka sehemu mbalimbali. Mfano Morogoro mjini hakuna mluguru anayemiliki kitu cha maana infact waluguru wote wamewaachia mji wageni wao wanajilimia magimbi yao huko milimani.Wachaga wengi wameenda shule ila nashindwa kuelewa ule ujinga wanaofanya wa kupoteza rasilimali nyingi kujenga majumba vijijini kwa ajili ya 'pride' ambayo muda mwingi wanaishi popo ukiacha zile week mbili za mwisho wa mwaka.
Sent using Jamii Forums mobile app