Hii ndio orodha ya Miji na Wilaya za Tanzania zenye watu wenye kipato cha Uhakika

Mapato ya halmashauri hayasanifu uhakika wa kipato na kuwa taarifa kamili kwaajili ya biashara hasa ndogo ndogo za kati, mfano Mbinga Dc inaongoza kwa mapato katika halmashauri zote mkoa wa Ruvuma kiuhalisia ndio halmashauri pekee isio na mji hata mdogo, idadi ya watu ni ndogo sana ila imebarikiwa kuwa na migodi mikubwa miwili tu ya makaa ya mawe ambayo ajira za moja kwa moja hazifiki hata watu hamsini kwa migodi yote miwili.
 
Hayo mapato yanatoka wapi kama sio kwa shughuli za watu?

Huko kwenu sijui ila huku Njombe tunalima chai,miti na Mazao yake,matunda mbalimbali hasa parachichi,Mazao ya nafaka kama viazi,na sasa Vanilla.

Ndani ya miaka 3 , Njombe itakuwa inaongoza Tzn kwa kilimo cha Vanilla maana kinalimwa kitaalamu kwenye greenhouses.

Kuhusu Migodi kwenye hiyo Halmashauri ni tatizo ambalo liko mikoa mingine hasa kanda ya ziwa , mapato mengi kutoka kampuni za Madini ambapo zina watu wachache Sana tofauti mikoa ya Nyanda za Juu Kusini ambako shughuli ni zile zinamnufaisha mtu moja kwa moja.
 
TUNAPOPIKA DATA TUWE TUNATUMIA UBONGO SIO MAKALIO.
HIVI DODOMA INAWEZA KUIZIDI MWANZA AU ARUSHA KWA MAPATO???
Kua muelewa mwanza imegawanywa, kuna nyamagana manispaa ndio wanaita mwanza jiji halafu ilemela manispaa, mapato ya mwanza jiji hayajumuishi ilemela ndio maana ikawa hivyo, kwa dom kuizid arusha inawezekana punguza mahaba na arusha yako wapike data kwa kipi
 
Hayo mapato yanatoka wapi kama sio kwa shughuli za watu?

Huko kwenu sijui ila huku Njombe tunalima chai,miti na Mazao yake,matunda mbalimbali hasa parachichi,Mazao ya nafaka kama viazi,na sasa Vanilla.

Ndani ya miaka 3 , Njombe itakuwa inaongoza Tzn kwa kilimo cha Vanilla maana kinalimwa kitaalamu kwenye greenhouses.

Kuhusu Migodi kwenye hiyo Halmashauri ni tatizo ambalo liko mikoa mingine hasa kanda ya ziwa , mapato mengi kutoka kampuni za Madini ambapo zina watu wachache Sana tofauti mikoa ya Nyanda za Juu Kusini ambako shughuli ni zile zinamnufaisha mtu moja kwa moja.
Anachosema muda ni kweli kuwa makusanyo yanaweza yasiakisi maisha halisi ya watu.

Hayo mazao yote uliyoyataja ikiwemo vanilla ambayo kagera ndo inaongoza Kwa sasa nchini yanalimwa kagera hasa wilaya za misenyi,muleba,karagwe na bukoba yenyew lakini mkoa wa kagera ina population ya 3 million plus na ni mkoa wenye population density kubwa mno ukiwa wa tatu nchini nyumba ya Dar na mwanza so mapato yake yakigawiwa na population per capita inaonekana ndogo hivyo mkoa unaonekana maskini.
Ila in reality Hali ya maisha ya mwananchi mmoja mmoja yako vizr .
Mimi huwa nashanga zile nyumba nzr Sana zilizojaa vijijini huwa zinajengwaje kwenye huu mkoa kama watu hawana kipato? Na je zile route za ndege zinazojaa bukoba watu hela wanatoa wap.

Think big
 
Unakujua hadi itonya kweli wewe baharia wa uchumi [emoji109][emoji109],nilifika kuona uwekezaji wa jamaa yangu yaani matunda ukilima kama tikiti linakuwa kubwa kama dumu la maji

Mkuu, DABAGA vijiji vya Mawambala, Mgama, Ukumbi, Lupembe na Kitoho kumewaka moto mkali tangu mama afungulie milango, sasa hivi wadau wengi wanauza mazao na kufanya kilimo cha bondeni (Wanalima njegere, maharage na nyanya). Wahi fursa upate bustani mapema kabla wengi waoga-waoga hawajastuka. Wakenya na Waganda wanaanza kufurika huku kununua mazao. Utanishukuru Baadae.....
 
Anachosema muda ni kweli kuwa makusanyo yanaweza yasiakisi maisha halisi ya watu.

Hayo mazao yote uliyoyataja ikiwemo vanilla ambayo kagera ndo inaongoza Kwa sasa nchini yanalimwa kagera hasa wilaya za misenyi,muleba,karagwe na bukoba yenyew lakini mkoa wa kagera ina population ya 3 million plus na ni mkoa wenye population density kubwa mno ukiwa wa tatu nchini nyumba ya Dar na mwanza so mapato yake yakigawiwa na population per capita inaonekana ndogo hivyo mkoa unaonekana maskini.
Ila in reality Hali ya maisha ya mwananchi mmoja mmoja yako vizr .
Mimi huwa nashanga zile nyumba nzr Sana zilizojaa vijijini huwa zinajengwaje kwenye huu mkoa kama watu hawana kipato? Na je zile route za ndege zinazojaa bukoba watu hela wanatoa wap.

Think big
Acha hadithi za Juma na Uledi mkuu,Maisha ya mwananchi wa Njombe ni mazuri kuliko wa huko Kagera.

Wahaya hawajengi uchumi wa kwao kama watu wa Njombe.Unless unataka ubishi nyuma ya Wachaga kuna Watu wa Njombe...wakinga na wabena.

Mwisho kilimo cha Njombe kinatumia skills zaidi maana watu wanalima kilimo biashara sio cha kujikimu.

Takwimu zote za serikali Kuhusu maendeleo zinaiweka Njombe top 5 ya maisha mazuri huku Kagera ikiwa top 5 bottom sawa na maskini wenzao huko.
 
Back
Top Bottom