Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ndio jeuri ya kuvuna,kama hujavuna ugulia tuu maumivu mkuu hakuna namnaDo hakakamsemo wanapendaga kuongeaga watu wavivunakujifaliji
Time Will tell utakaa kimya na kushangaaHiyo ndio jeuri ya kuvuna,kama hujavuna ugulia tuu maumivu mkuu hakuna namna
mbaoMkoa wa Iringa inaonekana kuna hela sana, hasa Wilaya ya Mufindi.
ni chatoKatoto ipo ndani ya Geita Dc
Katoro ni Geita, Buseresere ni Chatoni chato
Lile jangwa lishukuru serikali kuhamia kule watumishi wanafanya manunuzi hapo vinginevyo wangekula vumbiDodoma Imeingiaje?
Before Serikali walikuwa wanakula nini?Lile jangwa lishukuru serikali kuhamia kule watumishi wanafanya manunuzi hapo vinginevyo wangekula vumbi
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Hayo mapato yanatoka wapi kama sio kwa shughuli za watu?Mapato ya halmashauri hayasanifu uhakika wa kipato na kuwa taarifa kamili kwaajili ya biashara hasa ndogo ndogo za kati, mfano Mbinga Dc inaongoza kwa mapato katika halmashauri zote mkoa wa Ruvuma kiuhalisia ndio halmashauri pekee isio na mji hata mdogo, idadi ya watu ni ndogo sana ila imebarikiwa kuwa na migodi mikubwa miwili tu ya makaa ya mawe ambayo ajira za moja kwa moja hazifiki hata watu hamsini kwa migodi yote miwili.
Iwe ya tatu kivp mkuuIringa ipo vizuri mno,ukijumlisha Hizo sehemu zake ukiachana njombe nadhani ilitakiwa kuwa ya 3 katika hiyo orodha ,hongereni sana wana wa iringa,kazi iendeleeeeee
Usiwe na chuki mkuu angalia majedwali utakuta kilindi,lushoto na muheza bado zinafanya vizuri, by the way halmashauri za majiji zinafanya vizuri zaidi wakati halmashauri za wilaya na miji zikisuasuaZaidi ya Tanga mjini huko kwingine si njaa kali
Kua muelewa mwanza imegawanywa, kuna nyamagana manispaa ndio wanaita mwanza jiji halafu ilemela manispaa, mapato ya mwanza jiji hayajumuishi ilemela ndio maana ikawa hivyo, kwa dom kuizid arusha inawezekana punguza mahaba na arusha yako wapike data kwa kipiTUNAPOPIKA DATA TUWE TUNATUMIA UBONGO SIO MAKALIO.
HIVI DODOMA INAWEZA KUIZIDI MWANZA AU ARUSHA KWA MAPATO???
Makambako haiko mufindiMakambako ipo ndani ya Mufindi
Kwa nini umeuliza muheza
Anachosema muda ni kweli kuwa makusanyo yanaweza yasiakisi maisha halisi ya watu.Hayo mapato yanatoka wapi kama sio kwa shughuli za watu?
Huko kwenu sijui ila huku Njombe tunalima chai,miti na Mazao yake,matunda mbalimbali hasa parachichi,Mazao ya nafaka kama viazi,na sasa Vanilla.
Ndani ya miaka 3 , Njombe itakuwa inaongoza Tzn kwa kilimo cha Vanilla maana kinalimwa kitaalamu kwenye greenhouses.
Kuhusu Migodi kwenye hiyo Halmashauri ni tatizo ambalo liko mikoa mingine hasa kanda ya ziwa , mapato mengi kutoka kampuni za Madini ambapo zina watu wachache Sana tofauti mikoa ya Nyanda za Juu Kusini ambako shughuli ni zile zinamnufaisha mtu moja kwa moja.
Unakujua hadi itonya kweli wewe baharia wa uchumi [emoji109][emoji109],nilifika kuona uwekezaji wa jamaa yangu yaani matunda ukilima kama tikiti linakuwa kubwa kama dumu la maji
Hata km 60 sio rahisi, dar yenyewe kutoka city centre mpaka kwenye mipaka yake haifiki hata km 40sio kweli Njombe TC haina mpaka uliofika kilomita mia moja mkuu.sehemu ya mbali sana ni kilomita 60+ kutoka Centre.
Acha hadithi za Juma na Uledi mkuu,Maisha ya mwananchi wa Njombe ni mazuri kuliko wa huko Kagera.Anachosema muda ni kweli kuwa makusanyo yanaweza yasiakisi maisha halisi ya watu.
Hayo mazao yote uliyoyataja ikiwemo vanilla ambayo kagera ndo inaongoza Kwa sasa nchini yanalimwa kagera hasa wilaya za misenyi,muleba,karagwe na bukoba yenyew lakini mkoa wa kagera ina population ya 3 million plus na ni mkoa wenye population density kubwa mno ukiwa wa tatu nchini nyumba ya Dar na mwanza so mapato yake yakigawiwa na population per capita inaonekana ndogo hivyo mkoa unaonekana maskini.
Ila in reality Hali ya maisha ya mwananchi mmoja mmoja yako vizr .
Mimi huwa nashanga zile nyumba nzr Sana zilizojaa vijijini huwa zinajengwaje kwenye huu mkoa kama watu hawana kipato? Na je zile route za ndege zinazojaa bukoba watu hela wanatoa wap.
Think big