Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,441
- 15,201
aliulizwa nani kakuvalisha akajibu nimevaa mwenyewe 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀Binafsi napenda kusikiliza interviews za Chid Benz,anawapa majibu mazuri sana waandishi uchwara wa Bongo.......maana hawajui namna ya kuuliza maswali.........