Hii ndio orodha ya wasanii, maproducer, watangazaji wababe kwenye Bongo Flava, kichapo nje nje!!

Hii ndio orodha ya wasanii, maproducer, watangazaji wababe kwenye Bongo Flava, kichapo nje nje!!

Lord huyu aliyekuwa mraibu? Huyu ambaye siku moja alikiri kuingia cha kike maeneo ya Mwananyamala? Akakutana na sura ambazo hazijatokea barabarani mwezi hivi. Mwenyewe akawa anajichekesha pale na akaanza kugawa bukubuku?
Kabla ya mbanga Lord Eyez alikuwa fit sana amini juu hadi chini..basi tu maisha na nyakati zinapita 2008 huko
 
..Mimi mbona sipo kwenye list, muulizeni zola d na dudu baya nlichowafanya walipochana mistari ya kiwaki kwenye ngoma yangu, nkaifuta hata sikutaka tena iskike hewani.
 
Back
Top Bottom