bway hermit
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,337
- 2,339
Elfu 25 mwisho 22 mkuuInauzwaje, kama ni chin ya elf20,..bas itakua si nzur
Aahh kwahyo mkuu unahitaj pafyum zeny harufu iliopoa isio kali sana au vpIna harufu kali mno na inafahamika hata kwa mtoto
[emoji23][emoji23] baba debo hakukugombeza kweli kwa kutupa zawadi yake!!!Mbaya. Ex girlfriend wa Baba Debo alimletea mume wangu zawadi kwenye birthday party yake mwaka jana. Sikuipenda kabisa. Alipuliza siku moja tu nikaitupa kwa dustbin
Aahh kwahyo mkuu unahitaj pafyum zeny harufu iliopoa isio kali sana au vp
Sent using Jamii Forums mobile app
Belagio nkijipuliza lazm nitoe chafya [emoji3]product za NIVEA ni best kwangu,,, sababu sipendi manukato yenye harufu kali kiasi kwamba unapomaliza kuji psiii psiii lazima chafya ikutoke.
Kama ipi hyo mkuuIpo ambayo sio kali na ina harufu nzuri isioisha kwenye nguo
Inauzwa bei gani?Hivi kuna perfume nyingine inayoipiku hii kitu kwa kusmell fresh?
Mimi binafsi hii naikubali sana, wewe je?
View attachment 1370723
Sent using Jamii Forums mobile app
Nzuri zinaanzia sh ngapi?Inauzwaje, kama ni chin ya elf20,..bas itakua si nzur
product za NIVEA ni best kwangu,,, sababu sipendi manukato yenye harufu kali kiasi kwamba unapomaliza kuji psiii psiii lazima chafya ikutoke.
Ulishajaribu eternal royale MkuuHivi kuna perfume nyingine inayoipiku hii kitu kwa kusmell fresh?
Mimi binafsi hii naikubali sana, wewe je?
View attachment 1370723
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kitu Mkuu Makini sana hata Mimi natumiaga hiyo hiyo hutojutia kuitumiaHivi kuna perfume nyingine inayoipiku hii kitu kwa kusmell fresh?
Mimi binafsi hii naikubali sana, wewe je?
View attachment 1370723
Sent using Jamii Forums mobile app
Hyo hapana mkuu, sh ngapi hiyo niichekiUlishajaribu eternal royale Mkuu
[emoji3][emoji3]Kuna spray alikuwa anatumia shemeji yenu...inaitwa RELATION kila mahali nikiisikia nahisi yupo hapo
Kabisa mkuuHii kitu Mkuu Makini sana hata Mimi natumiaga hiyo hiyo hutojutia kuitumia
Sent using Jamii Forums mobile app