Hii ndio perfume ninayoikubali kuliko zote

Hii ndio perfume ninayoikubali kuliko zote

Hivi kuna perfume nyingine inayoipiku hii kitu kwa kusmell fresh?

Mimi binafsi hii naikubali sana, wewe je?

View attachment 1370723

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mm ndio perfume yangu tangu niko Advance miaka ya 2004.
IMG_20200305_121119.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani nkijipulizia hii,najikuta najiamini nikiwa popote na nikiingia sehemu yoyote lazma watu wageuze shingo, sema kula jamaa yngu mmoja alikujaga kwangu akataka kujipulizia kama dawa ya mbu alichezea bonge la kofi,kwa hasira akataka tupigane but mwisho wa siku akataka aninunulie nyingine kufika mjini ameulizia bei yake anaambiwa 460k [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hata alivyonipotea dukani mpka leo skumbukagi nakumbuka tu jioni anantext mzee tusameheane tu
images%20(1).jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3] hutaki ya kushea mkuu
Yani nkijipulizia hii,najikuta najiamini nikiwa popote na nikiingia sehemu yoyote lazma watu wageuze shingo, sema kula jamaa yngu mmoja alikujaga kwangu akataka kujipulizia kama dawa ya mbu alichezea bonge la kofi,kwa hasira akataka tupigane but mwisho wa siku akataka aninunulie nyingine kufika mjini ameulizia bei yake anaambiwa 460k [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hata alivyonipotea dukani mpka leo skumbukagi nakumbuka tu jioni anantext mzee tusameheane tuView attachment 1377959

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naam hiyo ndo bleu de chanel, mi nanunuaga 430k, tafuta moja inaitwa Tuxedo ni 250 usd, harufu yake ukipita kila sehemu lazma mtu ageuke
Yani nkijipulizia hii,najikuta najiamini nikiwa popote na nikiingia sehemu yoyote lazma watu wageuze shingo, sema kula jamaa yngu mmoja alikujaga kwangu akataka kujipulizia kama dawa ya mbu alichezea bonge la kofi,kwa hasira akataka tupigane but mwisho wa siku akataka aninunulie nyingine kufika mjini ameulizia bei yake anaambiwa 460k [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hata alivyonipotea dukani mpka leo skumbukagi nakumbuka tu jioni anantext mzee tusameheane tuView attachment 1377959

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
product za NIVEA ni best kwangu,,, sababu sipendi manukato yenye harufu kali kiasi kwamba unapomaliza kuji psiii psiii lazima chafya ikutoke.
Ukitumia ile role dry uka psiii na nivea Body spray fresh (ya blue) aisee i like that!
Ila naona kama wamechakachua ss hv kuna harufu siiielewagi kbs kwenye hy nivea fresh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom