Hii ndio perfume ninayoikubali kuliko zote

Hii ndio perfume ninayoikubali kuliko zote

Kuna spray alikuwa anatumia shemeji yenu...inaitwa RELATION kila mahali nikiisikia nahisi yupo hapo

Umenikumbusha kuna kipindi nilikiwa na mahusiano na jamaa mmoja alikuwa anatumia perfume ya Issey Miyak (kama sijakosea jina) baada ya kuachana ilikuwa kila nikisikia hayo manukato nageuka kuangalia huku na kule kama yuko karibu.....

Kuna perfume inaitwa Bondage ya kike nakumbuka kuna baba mmoja alinileteaga kwenye birthday yangu pindi tuu ilipotoka, sikuiweza marashi yake yalikiwa makali sana...

All on all mto wangu nimeuvalisha T-shirt ya Dadii, kila nikilala nanusa manukato yake, usingizi unakuja mwororo bila njozi za kijambazijambazi....
 
Naikubali sana hii kitu "Million Paco Rabanne" yaani ipo siku nilipita mahali kama njia kumbe kuna jamaa yangu alikuwa maeneo hayo, akasikia harufu!
Hakuniona ila kesho yake kazini akaniambia usiku ulikuwa mitaa flani, aliipata scent hiyo...


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom