stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,216
- 26,225
Inaendaje sokoni mkuu...?yah kwa kweli kuna jamaa akija ofisini kwangu anasema anasikia harufu toka nje anajua nipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaendaje sokoni mkuu...?yah kwa kweli kuna jamaa akija ofisini kwangu anasema anasikia harufu toka nje anajua nipo
Parefu sana potezea tu mtu wanguInaendaje sokoni mkuu...?
Hebu ziorozeshe hapa hizo pafyum zinazochezea 50 kuja mpaka 25mtoa mada hebu upgrade kidogo kwemda perfume za bei ya kati moja wapo ya kuanza nayo ni epic adventure inaanzia 40000/- kabla hujagusa hizo za akina issey miyake
Mbona kawaida sana.....
umemalizana na hiyo nikiyotaja hapo ulipo ninukuu?
Laki 9Inaendaje sokoni mkuu...?
Kuna spray alikuwa anatumia shemeji yenu...inaitwa RELATION kila mahali nikiisikia nahisi yupo hapo
Iko poa? Bei gani?Dah....kwa KE..jaribu Caron Poivre...huwa inanivuruga vichwani kwelikweli [emoji2960]
Sent using Beretta ARX 160
Ina harufu kali mno na inafahamika hata kwa mtoto
Mbona dah!Dah....[emoji2960]
Sent using Beretta ARX 160