mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
50000 - 60000
Mkuu mm ndio perfume yangu tangu niko Advance miaka ya 2004.Hivi kuna perfume nyingine inayoipiku hii kitu kwa kusmell fresh?
Mimi binafsi hii naikubali sana, wewe je?
View attachment 1370723
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna kitu hapo.Hivi kuna perfume nyingine inayoipiku hii kitu kwa kusmell fresh?
Mimi binafsi hii naikubali sana, wewe je?
View attachment 1370723
Sent using Jamii Forums mobile app
Creed ndiyo kitu yangu miaka yotevery common, ila kila mtu na taste yake, mi perfume nzuri ni Bleu de Chanel (430,000) na Hugo Boss the scrnt (200,000), nikiwa nimefulia nanunua zangu creed za kupima pale mlimani Albaity perfume
Sent using Jamii Forums mobile app
Respect sana mkuuMkuu mm ndio perfume yangu tangu niko Advance miaka ya 2004.View attachment 1377595
Sent using Jamii Forums mobile app
very common, ila kila mtu na taste yake, mi perfume nzuri ni Bleu de Chanel (430,000) na Hugo Boss the scrnt (200,000), nikiwa nimefulia nanunua zangu creed za kupima pale mlimani Albaity perfume
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani nkijipulizia hii,najikuta najiamini nikiwa popote na nikiingia sehemu yoyote lazma watu wageuze shingo, sema kula jamaa yngu mmoja alikujaga kwangu akataka kujipulizia kama dawa ya mbu alichezea bonge la kofi,kwa hasira akataka tupigane but mwisho wa siku akataka aninunulie nyingine kufika mjini ameulizia bei yake anaambiwa 460k [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hata alivyonipotea dukani mpka leo skumbukagi nakumbuka tu jioni anantext mzee tusameheane tuView attachment 1377959

Ukitumia ile role dry uka psiii na nivea Body spray fresh (ya blue) aisee i like that!product za NIVEA ni best kwangu,,, sababu sipendi manukato yenye harufu kali kiasi kwamba unapomaliza kuji psiii psiii lazima chafya ikutoke.
Kuna watu mna hela, sisi wengine tuna chenji tu.very common, ila kila mtu na taste yake, mi perfume nzuri ni Bleu de Chanel (430,000) na Hugo Boss the scrnt (200,000), nikiwa nimefulia nanunua zangu creed za kupima pale mlimani Albaity perfume
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nisaidie moja tu kesho nikanunue.Ipo ambayo sio kali na ina harufu nzuri isioisha kwenye nguo
yah kwa kweli kuna jamaa akija ofisini kwangu anasema anasikia harufu toka nje anajua nipo