Hii ndio rekodi ya Orlando Pirates katika michuano ya Kombe la Shirikisho msimu huu

Hii ndio rekodi ya Orlando Pirates katika michuano ya Kombe la Shirikisho msimu huu

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Rekodi hii imenitisha, mpaka utumbo umecheza kwa zile beki zile ambazo hazijui kuruka mipira ya krosi kuna maafa makubwa sana. Naiona balaa kubwa sana, yajayo hayafurahishi

BAEBCE68-7EFD-4734-8C09-FD949FAF102A.jpeg
 
Orlando [2 - 0] JS Soura

Ittihad Tripoli [3 - 2] Orlando

Royal Leopard [2-6] Orlando

Orlando [3- 0] Royal Leopards

Js Soura [0-2] Orlando

Orlando [0- 0] Ittihad Tripoli


Jumla kafunga 15 kafungwa 5.

Kaifunga Royal Leopards goli 9 jumla. Akafungwa na huyo 2.


Mechi nne zilizobaki kawafunga wenzie 6 kafungwa 3.

Katika kundi lao amefungwa na Ittihad Tripoli ugenini wakatoka droo nyumbani.
 
Hamsa Hamsa nje ndani
Hizo rekodi za kupigwa nje ndani anazo utopolo. Simba hajawahi Kufa kibudu namna hiyo kama utopolo. Ukimpiga kwako , kwake lazima akupe za uso. Ukimpiga kwakwe kwako anakupa za uso.
Ila kwa utopolo hilo linawezekana.

Rivers utd vs utopolo , nje ndani.
Al Masry vs utopolo , nje ndani.
Rayon sport vs utopolo , nje ndani
 
Back
Top Bottom