Hii ndio rekodi ya Orlando Pirates katika michuano ya Kombe la Shirikisho msimu huu

Hii ndio rekodi ya Orlando Pirates katika michuano ya Kombe la Shirikisho msimu huu

Goli 9 wameifunga team Toka eswatin kati ya goli hizo 15.

Na sisi kila team kwenye kundi tuliwafunga tena Kwa mkapa tumeruhusu goli moja tu.

Sasa hao Orlando pirates watapigwa na kitu kizito.

Lazima tufike finally
 
Back
Top Bottom