Hii ndio rekodi ya Orlando Pirates katika michuano ya Kombe la Shirikisho msimu huu

Orlando [2 - 0] JS Soura

Ittihad Tripoli [3 - 2] Orlando

Royal Leopard [2-6] Orlando

Orlando [3- 0] Royal Leopards

Js Soura [0-2] Orlando

Orlando [0- 0] Ittihad Tripoli


Jumla kafunga 15 kafungwa 5.

Kaifunga Royal Leopards goli 9 jumla. Akafungwa na huyo 2.


Mechi nne zilizobaki kawafunga wenzie 6 kafungwa 3.

Katika kundi lao amefungwa na Ittihad Tripoli ugenini wakatoka droo nyumbani.
 
Hamsa Hamsa nje ndani
Hizo rekodi za kupigwa nje ndani anazo utopolo. Simba hajawahi Kufa kibudu namna hiyo kama utopolo. Ukimpiga kwako , kwake lazima akupe za uso. Ukimpiga kwakwe kwako anakupa za uso.
Ila kwa utopolo hilo linawezekana.

Rivers utd vs utopolo , nje ndani.
Al Masry vs utopolo , nje ndani.
Rayon sport vs utopolo , nje ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…