Hii ndio rekodi ya Orlando Pirates katika michuano ya Kombe la Shirikisho msimu huu

Kundi lenyewe lilikuwa na timu nyepesi Sana. Sioni sababu ya kuwakuza kiasi hicho.
 
Umemsahau praymid
 
Kundi lenyewe lilikuwa na timu nyepesi Sana. Sioni sababu ya kuwakuza kiasi hicho.
Waliondika hiyo record ni CAF wenyewe kama walivyokuwa wana post kuisifia Simba/ mchezaji wa Simba ndivyo wanavyofanya kutoa taaarifa au takwimu au data kwa timu zingine. Ni kawaida kwa ukurasa wa CAF
 
Sio mbovu,ila haifanani na ubora wa simba ambayo mnataka kuona itafungwa kirahisi.

Ni sawa na Pamba kucheza robo fainali ya azam sports. Haimfanyi kuwa timu kubwa,bali imekuwa bora katika mashindano haya.
Neno dhaifu inatofauti gani ubovu? Ukiachana na kutegemea kwa Mkapa, Simba ina ubora upi huo?
 
Mwanaume hupaswi kuwa mwoga kiasi hicho. Ipo siku utakimbia kivuli chako japo sijaju wewe ni demu au mwanaume. Na tabia hii ndiyo inayowafanya utopolo kila mwaka kuishia hatua za awali.
Walichokufanya mabingwa wako upya 2021 - 2021(YANGA) kwenye ngao ya hisani huwezi kuacha kuweweseka kwa kuwataja taja kila siku hadi uwe chakula cha funza [emoji28]
 
kundi lake lilikuw bovu
 
Kumbe kuna timu mbovu zinazoingia hatus ya makundi?
Ndiyo... timu bora na dhaifu zinachanganywa ktk kila kundi. Ila kama unavyojua timu mbovu na dhaifu zaidi kama Utopolo hazifiki huko.
 
Unaikumbuka Libobo miaka Ile?
Libobo 4 Simba 0
Simba 0 Libobo 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…