Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,168
- 10,810
imeuma, za utosi noma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasipo ongea basi wao ndio watazidi kuumia,najua ni ngumu kusema lakini ndio dawa kwa biashara yao na ukuaji wa Bongo fleva.Asikudanganye mtu tasnia yoyote ile ili ikuwe lazima kuwe na ushirikiano na mwiingiliano wa kikazi,hapo ndipo hata wale wadogo wanakua lakini kwa sasa hivi sioni na walioshika indusrty ya mziki kila mtu ni kambale.Msanii wa kawaida hawezi kuzungumza sababu haitomsaida kitu na ni risk kibiashara. Si unaona mtu kama Konki.
hapo ndipo uwezo wako ulipofikia,nakupuuza.imeuma, za utosi noma
Wasipo ongea basi wao ndio watazidi kuumia,najua ni ngumu kusema lakini ndio dawa kwa biashara yao na ukuaji wa Bongo fleva.Asikudanganye mtu tasnia yoyote ile ili ikuwe lazima kuwe na ushirikiano na mwiingiliano wa kikazi,hapo ndipo hata wale wadogo wanakua lakini kwa sasa hivi sioni na walioshika indusrty ya mziki kila mtu ni kambale.
Biashara ni tofauti na harakati nyingine biashara ni principles tu. Huwezi kufanya mabadiliko kwenye biashara kwa kupaza sauti inatakiwa ufanye kitu. Jamaa wa Wasafi kuna vitu vingi havikuwafurahisha kwenye game wakajenga himaya wakaingia kwenye business na sasa wanapigana kujenga system mbadala ndio maana tunaona vumbi linatimka... Kwenye harakati kama hizi za kibiashara lazima kuna watu waumie haswa wasanii wachanga kwa sababu wanalazimika kuchagua upande na wapo kwenye sintofahamu hakuna mambo ya huruma kwenye ubepari.
Juzi niliona Ali K anawavimbia jamaa wa wasafi walipojaribu kupata interview yake hile aisaidii kama anataka mapambano hayafanye kibiashara. Anarudia kosa walilofanya machizi wa vinega.