Hii ndio sababu ChidBenz atabaki kuwa chuma

Msanii wa kawaida hawezi kuzungumza sababu haitomsaida kitu na ni risk kibiashara. Si unaona mtu kama Konki.
Wasipo ongea basi wao ndio watazidi kuumia,najua ni ngumu kusema lakini ndio dawa kwa biashara yao na ukuaji wa Bongo fleva.Asikudanganye mtu tasnia yoyote ile ili ikuwe lazima kuwe na ushirikiano na mwiingiliano wa kikazi,hapo ndipo hata wale wadogo wanakua lakini kwa sasa hivi sioni na walioshika indusrty ya mziki kila mtu ni kambale.
 
Biashara ni tofauti na harakati nyingine biashara ni principles tu. Huwezi kufanya mabadiliko kwenye biashara kwa kupaza sauti inatakiwa ufanye kitu. Jamaa wa Wasafi kuna vitu vingi havikuwafurahisha kwenye game wakajenga himaya wakaingia kwenye business na sasa wanapigana kujenga system mbadala ndio maana tunaona vumbi linatimka... Kwenye harakati kama hizi za kibiashara lazima kuna watu waumie haswa wasanii wachanga kwa sababu wanalazimika kuchagua upande na wapo kwenye sintofahamu hakuna mambo ya huruma kwenye ubepari.

Juzi niliona Ali K anawavimbia jamaa wa wasafi walipojaribu kupata interview yake hile aisaidii kama anataka mapambano hayafanye kibiashara. Anarudia kosa walilofanya machizi wa vinega.
 
Hile = ile

Hayafanye= ayafanye.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hivi sikuhizi Chid Benz hela ya kula na kumpa shemeji anaipata wapi, maana hapigi show/hatoi kazi mpya, yuko bize na interviews, na nyie mnavyozidi kumsifia ndo anapata bichwa la kufanya interview kilasiku[emoji3][emoji3], alikuwa na wakati wake huyu jamaa, ila hakufanya cha maana zaidi ya kupiga watu na kula bangi/poda, kwanini asikae kimya tu avune alichokipanda, au anashindana na 'Konki Master' kupata kiki???[emoji3][emoji3][emoji3], anyway alichoongea ni kweli, hili game lina pande mbili kwa sasa, ukiwa hujaonesha shobo kwenye pande yoyote huna chako, ila naona upande wa WCB wanamove on huku huu upande mwingine ukichechemea, mfano hapo kwa jirani zetu Kenya wanawajua wasanii wote wa WCB, na nyimbo zao zinachezwa sana, inafika mahali wanadhani muziki wa bongo ni WCB tu kumbe kuna wasanii wengi tu wakali, upande mwingine una wasanii ambao nje ya nchi hawana influence yoyote ukiondoa Alikiba na kidogo Aslay

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom