Tetesi: Hii ndio sababu halisi iliyowafanya Clouds Media Group waahirishe tamasha la Tigo Fiesta

Sikubaliani kuwa tiketi zilikua chache, kama wameweza kujaza Singida washindwe kujaza Dar.

Hii ni figisu ya Bashite kawalia timing tu

Ccm ni janga la taifa waache Clouds waendelee kuwakumbatia watajuta.
Sasa unafananisha level ya kujitambua ya watu wa Singida na Dar? Hebu kuwa serious kidogo basi, huko Singida hata ukimpeleka Daz baba leo kutajaa tu watu ni washamba wa wasanii, ila thubutu kumleta hata kwenye ukumbi tu hapa Dar af uwachaji watu hela uone kama kuna ambae atajigusa!
 
Ofcourse naamini ile ni biashara, lazma kuwe na faida iliokusudiwa sasa kama manunuzi ya Ticket hayatoshi kulipa hata wasanii wenyewe we unatarajia nini? Bado gharama nyingine za kutumia venue na mazaga mengine kwa kweli aibu sana na wangeforce show lazma ingebidi watikise account zao kulipa madeni!
 
Vipi kuhusu Arusha, au Mwanza nako wamejaa wenye level ipi labda?
Cheap point hiyo.!
 
Vipi kuhusu Arusha, au Mwanza nako wamejaa wenye level ipi labda?
Cheap point hiyo.!
Arusha si ndio wamejaa kina Juru wa kushato niaje! Fiesta imejaza sababu kina Mchomvu na B12 ni watoto wa uko na fekeche za akina Papaa mafido ila Chuga inae ma mbulula tu kama ilivyo wasukuma wa Mwanza!
 

kwaiyo ile barua ya kuambiwa watoke leaders na kuamia kawe ni cha uongo?

so serikali na clouds lao ni moja
 
mtu mwenyewe hata kuandika hujui.......


unaandikaje bila aya?
 
kibali walipewa, ila kimefutwa tena na mamlaka ile ile iloyotoa kibali........


muwe mnasoma mkaelewa usiwe km bashite
 
bashite kawatuma hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…