Hii ndio sababu halisi kwanini watu wengi sana siku hizi wanaota ndoto wapo shule ya msingi au sekondari

Hii ndio sababu halisi kwanini watu wengi sana siku hizi wanaota ndoto wapo shule ya msingi au sekondari

Haiwezekani mtu uishi shule miaka 7 + tena utotoni na usiote lolote wewe utakuwa fala sana

USSR
100% Fact. Wazo lako laweza kuwa sahihi pia.
 
Kulala vibaya, kula ovyo usiku, kutokuwa na pesa mfukoni, mapenzi , kuwa jobless hivi ni vitu vinasababisha ndoto nyingi kwa mtu
 
Naomba Link ya ule uzi HAUTAKIWI KUOA AU KUOLEWA NA MTU KWA SABABU UNAMPENDA

kuna vitu nitavipitie humo ndan
 
Back
Top Bottom