matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Kwa sababu siku hizi kuna fursa nyingi za watu kupata pesa bila kuajiriwa kuliko kipindi chochote tangu dunia iwepo.
Makampuni mengi hayana sababu kufanya kila kitu yenyewe wakati kuna watu wengi tu wako majumbani wanaweza kuwafanyia hizo kazi bila kujibebesha mizigo ya Bima za afya, kodi, kero za wafanyakazi, mafao etc.
Kwa sababu vitu vingi vimehamia online na pia shughuli nyingi zinafanywa na mamilioni ya watu binafsi ambao sio waajiriwa wa sehemu husika.
Makampuni mengi hayafikirii kuongeza watu, yanafikiria kuna mfumo gani ambao nikiuweka utatatua changamoto zetu kwa haraka huku tukibaki na watu wachache wenye softskills za kufanya mambo yaende.
Kazi kwako, kuchagua kutafuta huko wenzako ambao hawaajiriwa wanafanya nini kati ya mamillioni ya fursa duniani.
Ni hayo tu.
Source; Matunduizi.