Hii ndio sababu Magenius hawawezi kuwa matapeli

K
katika ubora wako humble African

Blaza wa forex ndio nani?
 
kumbe umesoma hapo ooh my GOD
 
[emoji23] [emoji23] Mkuu katika huu Uzi wako nimedaka point 1 kuwa majiniazi wote wana miandiko mibaya sasa mbona na mimi Nina mwandiko mbaya (manake na mm nitakua kundi moja na wao) ila naona kabisa nipo kwenye kundi la kutapeliwa kabisa kufaulu kwangu kwa shida afu sikuwahi kua na somo nililokua nalionea yote yalikua matatizo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] (just joking )
 
Nadhani mimi ninachembe chembe za ugenius maana toka nikiwa mdogo nilikuwa mtu wa kuchongo vitu mbali mbali kwa kutumia miti pia darasani nilifauru somo moja tu Bios kwenye necta nimekuja mtaani nimekuwa fundi wa fani mbali mbali bila kufundishwa na mtu wengine wakasema nikipaji tu mbaya zaidi nikiandika mwandiko wangu bora hata wa mtoto wa darasa la 2 wangu nimbaya haijawahi kutokea.
 
Kuna wakati mazingira magumu ndiyo humfanya Mtu kuwa mdadisi Sana ili aweze kutatua changamoto zinazo mzunguka yeye na jamii yake. Hata Ukifuatilia historia ya mageneous wengi wa zamani wametoka kwenye Familia duni na maisha yao awali yalikumbwa na hali ngumu lakini Bado waliweza kufikiri tofauti na wengine na kutoa suluhu za mambo mbalimbali.
Mimi naamini geneous are Born
 

Mkuu umenikumbusha mbali sana. Marco Tibasima, nilipenda sana kazi zake, Msanii Africa enzi zile. Ana michoro ya kipekee sana, yupo wapi sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…